Results for gritaron translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

gritaron

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

de nuevo gritaron: --¡crucifícale

Swahili

watu wote wakapaaza sauti tena: "msulubishe!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

tras eso aclamaron y gritaron victoria.

Swahili

walishangilia na kusema kuwa wamefanikiwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

entonces gritaron a gran voz, se taparon los oídos y a una se precipitaron sobre él

Swahili

hapo, watu wote katika kile kikao cha baraza, wakapiga kelele na kuziba masikio yao kwa mikono yao. kisha wakamrukia wote kwa pamoja,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

cuando les alcanzó nuestro rigor, no gritaron más que: «¡fuimos impíos!».

Swahili

basi hakikuwa kilio chao ilipo wafikia adhabu yetu, isipo kuwa kusema: hakika sisi tulikuwa wenye kudhulumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

al oír estas palabras se llenaron de ira y gritaron diciendo: --¡grande es diana de los efesios

Swahili

waliposikia hayo, waliwaka hasira, wakaanza kupiga kelele: "mkuu ni artemi, wa efeso!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

entonces todos gritaron de nuevo diciendo: --¡no a éste, sino a barrabás! y barrabás era un asaltante

Swahili

hapo wakapiga kelele: "la! si huyu ila baraba!" naye baraba alikuwa mnyang'anyi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

pero cuando los discípulos le vieron caminando sobre el mar, se turbaron diciendo: --¡un fantasma! y gritaron de miedo

Swahili

wanafunzi wake walipomwona akitembea juu ya maji waliingiwa na hofu, wakasema, "ni mzimu!" wakapiga kelele kwa hofu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

la gente les reprendía para que se callasen, pero ellos gritaron aun más fuerte diciendo: --¡señor, hijo de david, ten misericordia de nosotros

Swahili

ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze. lakini wao wakazidi kupaaza sauti: "mheshimiwa, mwana wa daudi, utuhurumie!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

desde entonces pilato procuraba soltarle. pero los judíos gritaron diciendo: --si sueltas a éste, no eres amigo del césar. todo aquel que se hace rey se opone al césar

Swahili

tangu hapo, pilato akawa anatafuta njia ya kumwachilia, lakini wayahudi wakapiga kelele: "ukimwachilia huyu mtu, wewe si rafiki yake kaisari; kila mtu anayejifanya kuwa mfalme humpinga kaisari!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

otra historia cómica vino de sao paulo, donde los profesores alentaban ilegalmente a los niños a cantar por dos de los candidatos, uno para alcalde y otro para presidente... pero el tiro les salió por la culata cuando los niños gritaron instintivamente "¡lula, lula!".

Swahili

taarifa nyingine ya kuchekesha inatoka sao paulo, ambako waalimu katika shule moja, kinyume cha sheria waliwahamasisha watoto waimbe kwa ajili ya wagombea wawili, mmoja kwa ajili ya kiti cha umeya na mwingine kwa ajili ya kiti cha urais, lakini kitendo hicho kiliwaridia bila mafanikio pale ambapo watoto walipoanza kuimba “lula!”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,774,158,282 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK