Results for hallaron translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

hallaron

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

y hallaron removida la piedra del sepulcro

Swahili

walikuta lile jiwe limeviringishwa mbali na kaburi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

pero al entrar, no hallaron el cuerpo de jesús

Swahili

walipoingia ndani, hawakuona mwili wa bwana yesu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

los que habían sido enviados fueron y hallaron como había dicho

Swahili

baba nina kuabudu

Last Update: 2014-06-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

cuando volvieron a casa los que habían sido enviados, hallaron sano al siervo

Swahili

wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

o que digan éstos mismos qué delito hallaron cuando comparecí ante el sanedrín

Swahili

au, waache hawa walio hapa waseme kosa waliloliona kwangu wakati niliposimama mbele ya baraza lao kuu,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

fueron, pues, y hallaron como les había dicho; y prepararon la pascua

Swahili

basi, wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama yesu alivyokuwa amewaambia; wakaandaa karamu ya pasaka.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

y, cuando abrieron su equipaje, hallaron que se les había devuelto su mercancía.

Swahili

na walipo fungua mizigo yao wakakuta bidhaa zao wamerudishiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

cuando los oficiales llegaron y no los hallaron en la cárcel, regresaron y dieron las noticia

Swahili

lakini hao watumishi walipofika huko hawakuwakuta mle gerezani. hivyo walirudi, wakatoa taarifa mkutanoni,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

pero no lo hallaron, a pesar de que se presentaron muchos testigos falsos. por fin se presentaron dos

Swahili

lakini hawakupata ushahidi wowote, ingawa walikuja mashahidi wengi wa uongo. mwishowe wakaja mashahidi wawili,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

algunos de los nuestros fueron al sepulcro y hallaron como las mujeres habían dicho, pero a él no le vieron

Swahili

wengine wetu walikwenda kaburini wakashuhudia yale waliyosema hao wanawake; ila yeye hawakumwona."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

cuando le hallaron al otro lado del mar, le preguntaron: --rabí, ¿cuándo llegaste acá

Swahili

wale watu walipomkuta yesu ng'ambo ya pili wa ziwa walimwuliza, "mwalimu, ulifika lini hapa?"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

no me hallaron disputando con nadie en el templo, ni provocando tumultos del pueblo, ni en las sinagogas ni en la ciudad

Swahili

wayahudi hawakunikuta nikijadiliana na mtu yeyote. hawakunikuta nikichochea watu hekaluni wala katika masunagogi yao, wala mahali pengine popote katika mji huo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

echaron la sonda y hallaron veinte brazas. pasando un poco más adelante, volvieron a echar la sonda y hallaron quince brazas

Swahili

hivyo walitafuta kina cha bahari kwa kuteremsha kamba iliyokuwa imefungiwa kitu kizito, wakapata kina cha mita arobaini. baadaye wakapima tena wakapata mita thelathini.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

aquellos siervos salieron por los caminos y reunieron a todos los que hallaron, tanto buenos como malos; y el banquete de bodas estuvo lleno de convidados

Swahili

wale watumishi wakatoka, wakaenda njiani, wakawaleta watu wote, wabaya na wema. nyumba ya arusi ikajaa wageni.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

asimismo, un buen número de los que habían practicado la magia trajeron sus libros y los quemaron delante de todos. calcularon su valor y hallaron que era de 50.000 monedas de plata

Swahili

wengine waliokuwa wameshughulikia mambo ya uchawi hapo awali, walikusanya vitabu vyao, wakavichoma mbele ya wote. walikisia gharama ya vitabu hivyo, wakaona yafikia vipande vya fedha elfu hamsini.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

y salieron a ver lo que había acontecido. fueron a jesús y hallaron al hombre de quien habían salido los demonios, sentado a los pies de jesús, vestido y en su juicio cabal; y tuvieron miedo

Swahili

watu wakaja kuona yaliyotokea. wakamwendea yesu, wakamwona yule mtu aliyetokwa na pepo ameketi karibu na yesu, amevaa nguo, ana akili zake, wakaogopa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,787,442,594 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK