Results for histórica translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

histórica

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

sin duda se trata de una oportunidad histórica.

Swahili

bila ya shaka hii ni fursa ya kihistoria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

le deseamos éxito en el cumplimiento de esta histórica misión.

Swahili

tunakutakia mafanikio katika kutekeleza kazi hii maalumu ya kihistoria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

yushchenko tiene ahora una oportunidad idealmente histórica para dimitir.

Swahili

hivi sasa yuschenko ana wasaa muafaka wa kujiuzulu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

la histórica dharahara fue destruída por el terremoto del 25 de abril.

Swahili

mnara wa dharahara wa kihistoria iliharibiwa vibaya katika tetemeko la april 25.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

reconstruyendo una memoria histórica: la voz de víctimas de esterilizaciones en el perú

Swahili

kurekebisha historia: sauti ya wahanga waliolazimishwa kuwa 'wagumba' nchini peru

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

la histórica protesta minera se retomó en la capital el miércoles 11 de julio desde por la mañana.

Swahili

maandamano haya ya kihistoria ya wachimbaji wa madini yalianza tena asubuhi ya jumatano ya tarehe 11, julai.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

en singapur, gilbert goh de transitioning,org escribió sobre la protesta histórica del día del trabajador en singapur:

Swahili

gilbert goh wa tovuti ya transitioning,org aliandika kuhusu maandamano hayo ya kihistoria ya wafanyakazi nchini singapore:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el mensaje de felicitación puede ser la oportunidad política, económica e histórica más importante, el dia de hoy y tras el cambio del gobierno norteamericano.

Swahili

kutuma ujumbe wa pongezi kunaweza kuwa ni fursa muhimu kisiasa, kiuchumi na kihistoria, leo hii na hata baada ya kubadilishwa serikali ya marekani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el usuario @wildeji, entrenador de perros, trató de capturar la fecha histórica de la liberación de madiba de prisión:

Swahili

mtumiaji @wildeji, mkufunzi wa mbwa, alijaribu kukumbuka siku ya kihistoria madiba alipoachiwa kutoka gerezani:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

pero a pesar de su victoria histórica, muchos ciudadanos que hubieran preferido un representante político diferente están preocupados por cómo se verán representadas sus opiniones y necesidades con ella al mando.

Swahili

pamoja na ushindi wake wa kihistoria, raia wengi ambao wangalipendelea rais tofauti na yeye, wanaonesha hofu yao ni kwa namna gani mawazo na mahitaji yao yatatekelezwa na rais huyu katika kipindi cha uongozi wake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

fazal abbas (@fazlabas ), un usuario de twitter residente en mumbai, aportó una perspectiva histórica al debate en curso:

Swahili

fazal abbas (@fazlabas), ambaye ni mtumiaji wa twita aishiye mumbai, alitoa historia kuhusiana na tukio hili:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

(para más información, ver la página de la cobertura especial de global voices) el nepal photo project está trabajando para capturar esta histórica catátrofe en imágenes.

Swahili

(kwa taarifa zaidi, fuatiliaglobal voices' ukurasa wa habari maalum .) mradi wa picha wa nepali unafanya kazi ya kukusanya picha za dhoruba hii ya kihistoria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

acerca de la crisis del combustible, el periodista richard chirombo intentó ver la situación desde una perspectiva histórica, resaltando que todo el cargamento dirigido a malaui estaba varado en mozambique debido a que no se podía utilizar el puerto de beira.

Swahili

kuhusu tatizo la mafuta, mwanahabari richard chirombo alijaribu kuliweka tatizo katika muktadha wa kihistoria na kuonyesha kuwa shehena ya malawi ilikwama huko msumbiji kutokana na kupungua kwa matumizi ya bandari ya beira.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

con el objetivo de reunir 3,000 firmas, la asociación mujeresmundi ha lanzado una petición en la plataforma change.org solicitando al estado peruano una reconstrucción de la memoria histórica en la voz de las víctimas de las esterilizaciones:

Swahili

likiwa na lengo la kukusanya saini 3,000, shirika la mujeresmundi limeanzisha madai ya mtandaoni kwenye jukwaa la change.org likiitaka serikali ya peru kujenga upya kumbukumbu ya kihistoria kwa sauti ya wahanga wa dawa za ugumba:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

2011 ha sido un año extraordinario para túnez, un año histórico que quedará grabado en la memoria de todos los tunecinos.

Swahili

mwaka 2011 haukuwa wa kawaida kwa nchi ya tunisia – mwaka wa kihistoria ambao utaingia katika kumbukumbu za kila m-tunisia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,781,325,303 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK