Results for hostilidad translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

hostilidad

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

más os valdría renunciar a vuestra hostilidad.

Swahili

na mkiacha itakuwa ndio kheri kwenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

no se preocupen por la hostilidad de algunos de nuestros colegas.

Swahili

msijali kuhusu uadui kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

hemos suscitado entre ellos hostilidad y odio hasta el día de la resurrección.

Swahili

na sisi tumewatilia uadui na chuki baina yao mpaka siku ya kiyama.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

esto puede asimismo explicar la hostilidad de los pasajeros y blogueros hacia los periodistas que buscaban información del accidente en las redes sociales.

Swahili

na pia inaweza kufafanua upinzani wa abiria na wanablogu kwa wanahabari ambao walikuwa wanatafuta taarifa za ajali kwenye vyombo vya habari vya kijamii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

llegar al nivel superior es raro y cuando lo consigues tienes que afrontar la hostilidad y las dudas sobre tu competencia porque eres mujer.

Swahili

kufikia ngazi za juu kabisa za utawala si rahisi, na hata unapopanda mpaka juu kabisa, bado unajikuta unakabiliwa na hisia za watu zenye uadui na watu wanakuwa na mashaka na uwezo wako, kwa sababu tu wewe ni mwanamke.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el demonio quiere sólo crear hostilidad y odio entre vosotros valiéndose del vino y del maysir, e impediros que recordéis a alá y hagáis la azalá.

Swahili

hakika shet'ani anataka kutia kati yenu uadui na chuki kwa ulevi na kamari, na akuzuieni kumkumbuka mwenyezi mungu na kusali.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

dijo: «¡trato hecho! y cualquiera que sea el plazo que yo decida, no seré objeto de hostilidad.

Swahili

musa akasema: hayo yamekwisha kuwa baina yangu na wewe. muda mmojapo nikiumaliza sitiwi ubayani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

una mujer en la cumbre trabaja más duro que un hombre para probar que está capacitada y aun así sigue teniendo que enfrentarse a los prejuicios arraigados y a la hostilidad por su papel de jefa y líder en un entorno de trabajo dominado con mucho por los hombres.

Swahili

mwanamke akikamata madaraka ya juu humbidi kufanya kazi kwa bidii zidi kuliko mwanaume ili kuthibitisha uwezo wake, lakini bado hata akifanya hivyo anakumbana na uadui pamoja na mfumo unaomwona kuwa duni, iwe katika majukumu yake kama meneja na kiongozi, na hata katika mazingira yoyote ya kazi ambayo yanatawaliwa kwa kiasi kikubwa na wanaume.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

¡renegamos de vosotros! ¡ha aparecido, entre nosotros y vosotros, hostilidad y odio para siempre mientras no creáis en alá solo!»

Swahili

tunakukataeni; na umekwisha dhihiri uadui na chuki baina yetu na nyinyi mpaka mtakapo muamini mwenyezi mungu peke yake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

faraón y sus tropas les persiguieron con espíritu de rebeldía y hostilidad hasta que, a punto de ahogarse, dijo: «¡sí, creo que no hay más dios que aquél en quien los hijos de israel creen! y soy de los que se someten a Él».

Swahili

hata firauni alipo kuwa anataka kuzama akasema: naamini kuwa hapana mungu ila yule waliye muamini wana wa israili, na mimi ni miongoni mwa walio nyenyekea!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,781,229,993 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK