Results for incrementar translation from Spanish to Swahili

Spanish

Translate

incrementar

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

Él es quien ha hecho descender la sakina en los corazones de los creyentes para incrementar su fe.

Swahili

yeye ndiye aliye teremsha utulivu katika nyoyo za waumini ili wazidi imani juu ya imani yao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

en 1998, el país cayó en el caos luego del plan del gobierno de incrementar el precio del combustible.

Swahili

mwaka 1998, nchi iliingia kwenye machafuko baada ya mpango wa serikali wa kuongeza bei ya mafuta.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el gobierno de egipto decidió incrementar los salarios, financiar los subsidios estatales, incrementar el presupuesto para la educación y los servicios sanitarios y ofrecer a los egipcios condiciones de vida dignas, libertad y progreso social.

Swahili

serikali ya misri imeamua kuongeza mishahara, ruzuku, imeongeza bajeti ya huduma za elimu na afya na kuwapa wa-misri maisha bora, uhuru na haki za kiraia

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

al mismo tiempo, las rentas deben ser urgentemente dirigidas a la infraestructura rural, para incrementar los precios de la hacienda y para desarrollar la industria agro-procesadora, a una escala nunca antes intentada.

Swahili

katika wakati mmoja, mapato lazima yaelekezwe kwenye miundo mbinu ya vijijini, kuongeza bei za mazao ya mashambani na kuendeleza viwanda vya kusindika mazao, katika kipimo ambacho hakikuwahi kujaribiwa kabla.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

fortalecer los programas de nutrición dirigidos a los grupos más vulnerables y su acceso a nutrición adecuada; incrementar la eficiencia de los gastos presupuestarios; mejorar el manejo de los recursos humanos en la atención sanitaria; presentar equipos de parto libre de riesgos; traer de regreso a los doctores a los centros de salud de las zonas rurales.

Swahili

kuboresha miradi ya lishe kwa kuangalia zaidi makundi yanayoathirika zaidi na namna bora ya upatikanaji wa lishe ya kutosha; kuboresha ufanisi wa matumizi ya bajeti ya afya; kuboresha usimamizi wa rasilimali watu katika utoaji wa huduma za afya; uwepo wa vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za dharura za afya; kuwarudisha madaktari katika vituo vya afya vya vijijini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,957,489,933 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK