Results for jesucristo translation from Spanish to Swahili

Spanish

Translate

jesucristo

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

jesucristo

Swahili

yesu

Last Update: 2012-09-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

el principio del evangelio de jesucristo, el hijo de dios

Swahili

habari njema ya yesu kristo, mwana wa mungu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

la gracia de nuestro señor jesucristo sea con vosotros

Swahili

tunawatakieni neema ya bwana wetu yesu kristo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

¡jesucristo es el mismo ayer, hoy y por los siglos

Swahili

yesu kristo ni yuleyule, jana, leo na milele.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

la gracia de nuestro señor jesucristo sea con todos vosotros

Swahili

tunawatakieni nyote neema ya bwana wetu yesu kristo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

el señor jesucristo sea con tu espíritu. la gracia sea con vosotros

Swahili

bwana awe nawe rohoni mwako. nawatakieni nyote neema.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

libro de la genealogía de jesucristo, hijo de david, hijo de abraham

Swahili

yesu kristo alikuwa mzawa wa daudi, mzawa wa abrahamu. hii ndiyo orodha ya ukoo wake:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

hombres que han arriesgado sus vidas por el nombre de nuestro señor jesucristo

Swahili

ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la bwana wetu yesu kristo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

al único sabio dios, sea la gloria mediante jesucristo, para siempre. amén

Swahili

kwake mungu aliye peke yake mwenye hekima, uwe utukufu kwa njia ya yesu kristo, milele na milele! amina.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

gracia a vosotros y paz, de parte de dios nuestro padre y del señor jesucristo

Swahili

nawatakieni neema na amani kutoka kwa mungu baba yetu na bwana wetu yesu kristo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

porque me propuse no saber nada entre vosotros, sino a jesucristo, y a él crucificado

Swahili

nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua yesu kristo; naam, kristo aliyesulubiwa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

aguardando la esperanza bienaventurada, la manifestación de la gloria del gran dios y salvador nuestro jesucristo

Swahili

tukiwa tunangojea siku ile ya heri tunayoitumainia, wakati utakapotokea utukufu wa mungu mkuu na mwokozi wetu yesu kristo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

a los tales les ordenamos y les exhortamos en el señor jesucristo que trabajando sosegadamente coman su propio pan

Swahili

kwa jina la bwana wetu yesu kristo tunawaamuru na kuwaonya watu hao wawe na nidhamu na kufanya kazi ili wajipatie maslahi yao wenyewe.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

es navidad en belén, en la ribera occidental, palestina, el lugar de nacimiento de jesucristo.

Swahili

ni sikukuu ya kuzaliwa kristo mjini betlehemu, katika ukanda wa magharibi, palestina, mahali alipozaliwa kristo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

acuérdate de jesucristo, resucitado de entre los muertos, de la descendencia de david, conforme a mi evangelio

Swahili

mkumbuke yesu kristo aliyefufuliwa kutoka wafu, aliyekuwa wa ukoo wa daudi, kama isemavyo habari njema ninayoihubiri.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

ahora, con respecto a la venida de nuestro señor jesucristo y nuestra reunión con él, os rogamos, hermanos

Swahili

sasa yahusu kuja kwake bwana wetu yesu kristo na kukusanywa kwetu pamoja tukae naye. ndugu, tunawaombeni sana

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

judas, siervo de jesucristo y hermano de santiago; a los llamados, amados en dios padre y guardados en jesucristo

Swahili

mimi yuda, mtumishi wa yesu kristo, ndugu yake yakobo, nawaandikia ninyi mlioitwa na mungu na ambao mnaishi katika upendo wa mungu baba, na katika ulinzi wa yesu kristo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

de manera que el nombre de nuestro señor jesús sea glorificado en vosotros, y vosotros en él, según la gracia de nuestro dios y del señor jesucristo

Swahili

kwa namna hiyo, jina la bwana wetu yesu litapata utukufu kutoka kwenu, nanyi mtapata utukufu kutoka kwake kwa neema ya mungu wetu na ya bwana yesu kristo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

hijitos míos, estas cosas os escribo para que no pequéis. y si alguno peca, abogado tenemos delante del padre, a jesucristo el justo

Swahili

watoto wangu, ninawaandikieni mambo haya, kusudi msitende dhambi. lakini, ikijatokea mtu akatenda dhambi, tunaye mmoja ambaye hutuombea kwa baba, ndiye yesu kristo aliye mwadilifu kabisa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Spanish

si expones estas cosas a los hermanos, serás buen ministro de jesucristo, nutrido de las palabras de la fe y de la buena doctrina, la cual has seguido de cerca

Swahili

kama ukiwapa ndugu wote maagizo haya, utakuwa mtumishi mwema wa kristo yesu, ukijiendeleza kiroho kwa maneno ya imani na mafundisho ya kweli, ambayo wewe umeyafuata.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,941,742,941 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK