Results for pablo translation from Spanish to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

pablo

Swahili

lala

Last Update: 2013-11-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Spanish

después de esto, pablo partió de atenas y fue a corinto

Swahili

baada ya hayo, paulo aliondoka athene, akaenda korintho.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Spanish

aunque pablo quería salir a la multitud, los discípulos no se lo permitieron

Swahili

paulo mwenyewe alitaka kuukabili huo umati wa watu, lakini wale waumini walimzuia.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Spanish

desde mileto, pablo envió a Éfeso e hizo llamar a los ancianos de la iglesia

Swahili

kutoka mileto paulo alituma ujumbe kwa wazee wa efeso wakutane naye.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Spanish

a bernabé le llamaban zeus y a pablo, hermes, porque era el que llevaba la palabra

Swahili

barnaba akaitwa zeu, na paulo, kwa vile yeye ndiye aliyekuwa anaongea, akaitwa herme.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Spanish

al día siguiente, pablo entró con nosotros para ver a jacobo, y todos los ancianos se reunieron

Swahili

kesho yake paulo alikwenda pamoja nasi kumwamkia yakobo, na wazee wote wa kanisa walikuwako pia.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Spanish

cuando los apóstoles bernabé y pablo oyeron esto, rasgaron sus ropas y se lanzaron a la multitud dando voce

Swahili

barnaba na paulo walipopata habari hiyo waliyararua mavazi yao na kukimbilia katika lile kundi la watu wakisema kwa sauti kubwa:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Spanish

a la vez, ordenó que proveyeran cabalgaduras para que pablo montara, y le llevasen a salvo al procurador félix

Swahili

wekeni farasi kadhaa kwa ajili ya paulo; mfikisheni salama kwa felisi, mkuu wa mkoa."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

ahora, la salutación de mi propia mano, de pablo. acordaos de mis prisiones. la gracia sea con vosotros

Swahili

naandika haya kwa mkono wangu mwenyewe: salamu kutoka kwangu, mimi paulo. kumbukeni kwamba niko kifungoni. neema ya mungu iwe nanyi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Spanish

dio órdenes al centurión de que pablo fuese custodiado, pero que tuviera algunos privilegios y que no se impidiese a ninguno de los suyos atenderle

Swahili

kisha akamwamuru yule jemadari amweke paulo kizuizini, lakini awe na uhuru kiasi, na rafiki zake wasizuiwe kumpatia mahitaji yake.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Spanish

entre ellos está el famoso crítico de cine pablo villaça, fundador de cinema em cena, el sitio web de películas más antiguo de brasil.

Swahili

mmoja wao ni mchambuzi maarufu wa filamu pablo villaça, mwanzilishi wa cinema em cena, tovuti ya filamu ya muda mrefu nchini brazil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Spanish

cuando se determinó que habíamos de navegar a italia, entregaron a pablo y a algunos otros presos a un centurión llamado julio, de la compañía augusta

Swahili

walipokwisha amua tusafiri mpaka italia, walimweka paulo pamoja na wafungwa wengine chini ya ulinzi wa yulio aliyekuwa ofisa wa jeshi katika kikosi kiitwacho "kikosi cha augusto."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

al otro día, atracamos en sidón; y julio, tratando a pablo con amabilidad, le permitió ir a sus amigos y ser atendido por ellos

Swahili

kesho yake tulitia nanga katika bandari ya sidoni. yulio alimtendea paulo vizuri kwa kumruhusu awaone rafiki zake na kupata mahitaji yake.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Spanish

como pasaban allí muchos días, festo presentó al rey el caso de pablo, diciendo: --hay cierto hombre que ha sido dejado preso por félix

Swahili

walikuwa huko siku kadhaa naye festo akamweleza mfalme kesi ya paulo: "kuna mtu mmoja hapa ambaye felisi alimwacha kizuizini.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

el tribuno respondió: --yo logré esta ciudadanía con una gran suma. entonces pablo dijo: --pero yo la tengo por nacimiento

Swahili

mkuu wa jeshi akasema, "mimi nami nimekuwa raia wa roma kwa kulipa gharama kubwa." paulo akasema, "lakini mimi ni raia wa roma kwa kuzaliwa."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

ellos fueron a los principales sacerdotes y a los ancianos, y les dijeron: --nosotros hemos jurado bajo maldición, que no gustaremos nada hasta que hayamos dado muerte a pablo

Swahili

basi, walikwenda kwa makuhani wakuu na wazee, wakasema, "sisi tumeapa kwamba hatutaonja chochote kwa vinywa vyetu mpaka hapo tutakapokuwa tumemuua paulo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

el carcelero comunicó a pablo estas palabras: --los magistrados han enviado orden de que seáis puestos en libertad; ahora, pues, salid e id en paz

Swahili

yule askari wa gereza alimpasha habari paulo: "mahakimu wametuma ujumbe ili mfunguliwe. sasa mnaweza kutoka na kwenda zenu kwa amani."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

cuando ya iba a ser metido en la fortaleza, pablo dijo al tribuno: --¿se me permite decirte algo? y él dijo: --¿sabes griego

Swahili

walipokuwa wanamwingiza ndani ya ngome, paulo alimwomba mkuu wa jeshi akisema, "naweza kukwambia kitu?" yule mkuu wa jeshi akamjibu, "je unajua kigiriki?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

--sea pablo, sea apolos, sea pedro, sea el mundo, sea la vida, sea la muerte, sea lo presente, sea lo porvenir--, todo es vuestro

Swahili

paulo, apolo na kefa, ulimwengu, maisha na kifo; mambo ya sasa na ya baadaye, yote ni yenu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,906,632,549 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK