Results for perspectiva translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

perspectiva

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

contrasta llamativamente con la perspectiva compartida por capitol hill cubans :

Swahili

kwa upande mwingine, blogu ya capitol hill cubans walitoa mtazamo huu:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

desde mi perspectiva, veo que hay cerca de 60 muertos en tachileik.

Swahili

ukiniuliza makadirio yangu, naweza kusema watu kiasi cha 60 walipoteza maisha kule tachileik.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

no importa sí sales dentro de tu misma ciudad o sus alrededores, abre tus ojos a una nueva perspectiva.

Swahili

haijalishi kama unatoka kutembea ndani ya mji unamoishi au kwenye maeneo yanayouzunguka mji, muhimu ni kufungua macho yako ili uweze kuona mtazamo mpya wa maisha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

buscamos historias que nos hablen sobre la comunidad, sus desafíos y sus logros, desde una perspectiva única y personal.

Swahili

tunatafuta habari ambazo zitatupa uelewa wa jamii husika, mabadilko yao au mafanikio yao, zinazosimuliwa kwa mtazamo pekee wa kibinafsi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

connectas surge en un momento en el convergen varias oportunidades en la región, y una necesidad de información de sus realidades con perspectiva transnacional.

Swahili

connectas inajitokeza kwenye mkutaniko wa fursa nyingi katika eneo hilo, na hitaji la taarifa zenye ukweli wenye manufaa ya mataifa ya bara hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

después, iqbal ahmad oruzgani , fotógrafo de afganistán, empezó a publicar fotos con la etiqueta para mostrar afganistán desde una perspectiva diferente.

Swahili

hivi karibuni,iqbal ahmad oruzgani, mpiga picha kutoka afghanistan ameanza pia kuweka picha kwenye alama ishara hiyo hiyo ya mtandao wa twita kwa mtazamo tofauti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

cireass, otro bloguero que escribe sobre guinea, prefirió explicar la epidemia y los desafíos de informar a la gente desde una perspectiva más directa:

Swahili

cireass, mwanablogu mwingine anayeandika kuihusu guinea, alichagua njia isiyo ya mkato katika kulielezea gojwa la ebola pamoja na changamoto za kuielimisha jamii:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

desde su perspectiva, "la oposición saldrá de esto fortalecida" así que "la revolución no puede echarse y relajarse":

Swahili

kwa mtazamo wake, "upinzani umetoka kwenye uchaguzi huu ukiwa na nguvu mpya" kwa hiyo "mapinduzi hayatabaki bila tahayari":

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

acerca de la crisis del combustible, el periodista richard chirombo intentó ver la situación desde una perspectiva histórica, resaltando que todo el cargamento dirigido a malaui estaba varado en mozambique debido a que no se podía utilizar el puerto de beira.

Swahili

kuhusu tatizo la mafuta, mwanahabari richard chirombo alijaribu kuliweka tatizo katika muktadha wa kihistoria na kuonyesha kuwa shehena ya malawi ilikwama huko msumbiji kutokana na kupungua kwa matumizi ya bandari ya beira.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

"queríamos conocer la perspectiva de los ciudadanos somalíes que nos diga cómo la crisis ha afectado su vida y la diáspora somalí", dijo soud al jazeera hyder, en una entrevista.

Swahili

“tulitaka tupate mitizamo ya raia wa kawaida wa somalia ili kwamba ituambie jinsi ambavyo mgogoro ulivyowaathiri wao pamoja na wasomali walio ighaibuni,” soud hyder wa al jazeera alisema katika mahojiano.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

#kholoudalkhamees (pero eres rara, nena) deseas mucho, pero mucho tener un romance con #obl esto me dio una nueva perspectiva de la canción de lady gaga

Swahili

#kholoudalkhamees (kwa sababu wewe ni kituko) unataka sana, huba mbaya na #obl sasa hivi nimepata mtizamo mpya kabisa wa wimgo wa lady gaga

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

a continuación hay dos post de blogs mostrando diferentes perspectivas de unos frente a otros, planteos de temas como inmigración, racismo, etnicidad y respeto mutuo.

Swahili

hapa chini kuna habari zilizopachikwa katika kurasa za blogu mbili zikionyesha mitazamo tofauti baina ya watu wawili kwa kuibua masuala muhimu kama uhamiaji, ubaguzi wa rangi, ukabila na heshima miongoni mwa watu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,783,848,690 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK