Results for recuerdo translation from Spanish to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

es un recuerdo,

Swahili

huku ni kukumbushana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

ahora recuerdo…".

Swahili

sasa nakumbuka ...”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

esto es un recuerdo.

Swahili

kwa hakika hili ni kumbusho.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

para que su recuerdo no se borre.

Swahili

ili kumbukumbu zao zisipotee kirahisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

todavía recuerdo cada uno de los 254 días .

Swahili

bado ninakumbuka kila moja ya siku 254 .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

pero el recuerdo de alá es más importante aún.

Swahili

na kwa yakini kumdhukuru mwenyezi mungu ndilo jambo kubwa kabisa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

es, sí, un recuerdo para los temerosos de alá.

Swahili

kwa hakika hii ni mawaidha kwa wachamngu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

sino como recuerdo para quien tiene miedo de alá,

Swahili

bali ni mawaidha kwa wenye kunyenyekea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

cuyos ojos estaban cerrados a mi recuerdo y que no podían oír.

Swahili

wale ambao kwamba macho yao yalikuwa paziani hayanikumbuki, na wakawa hawawezi kusikia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

que ni vuestra hacienda ni vuestros hijos os distraigan del recuerdo de alá.

Swahili

yasikusahaulisheni mali yenu, wala watoto wenu, kumkumbuka mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

nosotros hemos hecho eso como recuerdo y utilidad para los habitantes del desierto.

Swahili

sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el demonio se ha apoderado de ellos y les ha hecho olvidarse del recuerdo de alá.

Swahili

shetani amewatawala na akawasahaulisha kumkumbuka mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

actualmente se ve escombros por todos lados, la fotografía seguramente es un recuerdo distante.

Swahili

nionapo vifusi kila mahali, kwa hakika, picha hii inatukumbusha mbali sana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

esto es un recuerdo. el que quiera ¡que emprenda camino hacia su señor!

Swahili

hakika haya ni mawaidha; basi anaye taka atashika njia ya kwenda kwa mola wake mlezi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

todavía recuerdo los rostros de los que me torturaron y de todos esos oficiales violentos. #sudanrevolts

Swahili

ninazikumbuka vizuri sura za watesi wangu na walionitembea vibaya. #sudanrevolts

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

recuerdo haber visto cadáveres en el lago kivu, arrojados del lado de ruanda y traido por las olas al lado congolés.

Swahili

nakumbuka kuona maiti za watu kwenye ziwa kivu, upande wa rwanda wa ziwa na ambazo zilisogezwa polepole kuja upande wa kongo na mawimbi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

mientras escribo esto, recuerdo con alarma que en etiopía expresar tus opiniones puede convertirse en un pasaje en primera clase a la prisión.

Swahili

ninapoandika haya, kwa uwoga nakumbushwa kwamba nchini ethiopia, kutoa maoni yako kunaweza kukufanya uakapewa tiketi ya daraja la kwanza gerezani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

@ictjournalist : @gndhlovu lo recuerdo como la persona que inició una revolución en África que se ha extendido por todas partes

Swahili

@ictjournalist: @gndhlovu namkumbuka kama mtu ambaye alianzisha mapinduzi barani afrika ambayo yameenea kila sehemu

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

¡no obedezcas a aquél cuyo corazón hemos hecho que se despreocupe de nuestro recuerdo, que sigue su pasión y se conduce insolentemente!

Swahili

wala usimt'ii tuliye mghafilisha moyo wake asitukumbuke, na akafuata matamanio yake yakawa yamepita mpaka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

de las multitudes reunidas en frente del "jardín del recuerdo" y el memorial del genocidio, están saliendo llantos que interrumpen los discursos oficiales.

Swahili

kutoka katika umati uliokusanyika mbele ya "bustani ya kumbukumbu" na ilipo kumbukumbu ya mauaji ya kimbari, vilio vinasikika huku na kule, hivyo kukatisha hotuba rasmi zilizokuwa zikitolewa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,944,417,514 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK