Results for resistencia translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

resistencia

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

¿resistencia a la civilización occidental tal vez?

Swahili

ni kukataa ustaarabu wa kimagharibi labda?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

ahora es el momento en que todas las formas de resistencia son legítimas.

Swahili

huu ndio wakati ambao kila mbinu ya upinzani ni ruksa kutumika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

habéis condenado y habéis dado muerte al justo. Él no os ofrece resistencia

Swahili

mmemhukumu na kumwua mtu asiye na hatia, naye hakuwapigeni.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

ellos deberían prepararse psicológicamente para abandonar la cámara estatal en paz sin oponer resistencia.

Swahili

@edwardlowassa wajiandae tu kisaikolojia kuitoa ikulu kwa amani pasi na shurtisho lolote — mwamfupe anyisile (@anyisile) august 15, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

alengot es miembro del movimiento de resistencia nacional, dirigido por el presidente yoweri museveni.

Swahili

alengot ni mwanachama wa chama cha nrm (national resistance movement) kinachoongozwa na rais yoweri museveni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

las raíces del capitalismo, la utilidad y el individualismo han encontrado más resistencia en la psicología africana.

Swahili

mizizi ya ubepari, utumiaji na ubinafsi, imekutana na upinzani zaidi katika hisia za afrika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

ante la resistencia de los huelguistas, las fuerzas del orden no han dudado en hacer uso de la fuerza.

Swahili

huku wakikabiliana na pingamizi kutoka kwa waandamanaji, vikosi vya usalama havikusita kutumia nguvu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

gracias a tehranlive, tenemos diversas fotos de las protestas y del movimiento de resistencia del pueblo iraní:

Swahili

shukrani kwa tehranlive kwani tumepata picha kadhaa za wairani wanaopinga na za mwamko wa upinzani:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

en respuesta, grupos de la resistencia palestina en la franja de gaza lanzaron misiles sobre israel, pero sin dejar heridos.

Swahili

israel ilijibu mapigo kwa mashambulizi makali ya angani yaliyoilenga gaza na kuacha maiti wapatao kumi na wawili kwa mara moja.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

lada dimitrova escribió un comentario en la galería de fotos de la protesta del 24 de febrero en la página saprotiva (resistencia):

Swahili

lada dimitrova aliandika maoni yake katika kumbukumbu ya picha za maandamano ya februari 24 kwenye ukurasa wa “ukinzani” ( "saprotiva") ("resistance"):

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

quince años después, en 2000, olivera jugó un papel clave en el movimiento de resistencia que detuvo la privatización del agua en cochabamba, bolivia.

Swahili

miaka kumi na mitano baadae, mwaka 2000, olivera alihusika kwa kiasi kikubwa katika vuguvugu la upinzani lililomaliza jaribio la ubinafsishaji wa maji mjini cochabamba, bolivia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

cuando llegaron a la sede central de rti, enfrentaron resistencia de parte de las fuerzas de defensa y seguridad (fds) de gagbo.

Swahili

vikosi hivyo vilipofika kwenye makao makuu ya rti vilikabiliana na upinzani mkali kutoka vikosi vya ulinzi na usalama vya fds vinavyomuunga mkono gbagbo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

gulu es un distrito en el norte de uganda que ha sido el centro del conflicto entre el gobierno y el ejército de resistencia del señor (ers).

Swahili

gulu ni wilaya iliyokuwa na misuguano kaskazini mwa uganda. kilikuwa ni kitovu cha mgogoro kati ya serikali ya uganda na waasi wa lord’s resistance army (lra).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

imploramos a los hermanos a difundir nuestros mensajes y animar a una resistencia entre nosotros musulmanes que detendrán a esos que dicen ser musulmanes, pero que son simplemente trabajadores del diablo, y perpetran estas atrocidades.

Swahili

twawasihi ndugu zetu waeneze ujumbe wetu na kuhimiza upinzani baina yetu wa-islamu wataowakamata wale wanaodai kuwa waislamu lakini kiukweli ni wafanyakazi tu wa shetani, na ndio wanaoendeleza vitendo hivi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el 26 de enero de 2015, el presidente ugandés yoweri museveni y su movimiento de resistencia nacional (nrm por su nombre en inglés) celebraron 29 años en el poder.

Swahili

januari 26, 2015, rais wa uganda yoweri museveni na chama chake cha national resistance movement (nrm) walisherehekea miaka 29 madarakani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

aunque el actual presidente no ha hecho un esfuerzo en preparar un sucesor del gobernante movimiento nacional de resistencia, su esposa, la honorable janet museveni, parlamentaria que acaba de ser designada ministra y su hijo, teniente coronel muhoozi kainerugaba son los favoritos.

Swahili

ingawa rais wa sasa hakufanya juhudi zozote za kumuandaa mrithi wa kiti chake kutoka katika chama chake cha national resistance movement, vuguvugu, mkewe ambaye pia ni mbunge, janet museveni, ambaye pia hivi karibuni ameteuliwa kuwa waziri na mtoto wake, luteni kanali muhoozi kainerugaba, hawa wako mstari wa mbele.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

a pesar del sufrimiento que muestra, mcallister todavía considera su película como predominantemente optimista: "creo que el mensaje de esperanza está en la resistencia: la resistencia de una familia que se ha recuperado de todo".

Swahili

pamoja na madhila yaonekanayo katika filamu hii, mcallister bado anaitazama filamu hii kama yenye kuleta matumainin makubwa: “nafikiri ujumbe wa matumaini upo kwenye ujasiri usio na kificho— ujasiri ulio dhahiri wa familia moja, ambao kila mwanafamilia ameupitia.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,800,533,503 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK