Results for terrenal translation from Spanish to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

ahora bien, el primer pacto tenía reglamentos acerca del culto y del santuario terrenal

Swahili

agano la kwanza lilikuwa na taratibu zake za ibada na pia mahali patakatifu pa ibada palipojengwa na watu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

como es el terrenal, así son también los terrenales; y como es el celestial, así son también los celestiales

Swahili

wote walio wa dunia wako kama huyo mtu aliyeumbwa kwa udongo; wale walio wa mbinguni wako kama yule aliyetoka mbinguni.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el que viene de arriba está por encima de todos. el que procede de la tierra es terrenal, y su habla procede de la tierra. el que viene del cielo está por encima de todos

Swahili

"anayekuja kutoka juu ni mkuu kuliko wote; atokaye duniani ni wa dunia, na huongea mambo ya kidunia. lakini anayekuja kutoka mbinguni ni mkuu kuliko wote.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

por lo tanto, haced morir lo terrenal en vuestros miembros: fornicación, impureza, bajas pasiones, malos deseos y la avaricia, que es idolatría

Swahili

basi, komesheni kabisa kila kitu kilicho ndani yenu ambacho chahusika na mambo ya kidunia: uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambao ni sawa na kuabudu sanamu).

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

y ama ardientemente, sí, los bienes terrenales.

Swahili

naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,934,684,787 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK