Results for akawaacha translation from Swahili to Amharic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Amharic

Info

Swahili

alipokuwa anawabariki, akawaacha; akachukuliwa mbinguni.

Amharic

ሲባርካቸውም ከእነርሱ ተለየ ወደ ሰማይም ዐረገ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, akawaacha, akaenda tena kusali mara ya tatu kwa maneno yaleyale.

Amharic

ደግሞም ትቶአቸው ሄደ፥ ሦስተኛም ያንኑ ቃል ደግሞ ጸለየ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, akawaacha, akatoka nje ya mji na kwenda bethania, akalala huko.

Amharic

ትቶአቸውም ከከተማ ወደ ቢታንያ ወጣ በዚያም አደረ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha akawaacha, akaenda umbali wa mtu kuweza kutupa jiwe, akapiga magoti, akasali:

Amharic

ከእነርሱም የድንጋይ ውርወራ የሚያህል ራቀ፥ ተንበርክኮም። አባት ሆይ፥

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kizazi kiovu kisicho na uaminifu! mnataka ishara, lakini hamtapewa ishara yoyote isipokuwa tu ile ya yona." basi, akawaacha, akaenda zake.

Amharic

ክፉና አመንዝራ ትውልድ ምልክት ይሻል፥ ከነቢዩም ከዮናስ ምልክት በቀር ምልክት አይሰጠውም። ትቶአቸውም ሄደ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini mungu aliondoka kati yao, akawaacha waabudu nyota za anga, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii: enyi watu wa israeli! si mimi mliyenitolea dhabihu na sadaka kwa muda wa miaka arobaini kule jangwani!

Amharic

እግዚአብሔር ግን ዘወር አለ የሰማይንም ጭፍራ ያመልኩ ዘንድ አሳልፎ ሰጣቸው፥ በነቢያትም መጽሐፍ። እናንተ የእስራኤል ቤት፥ አርባ ዓመት በምድረ በዳ የታረደውን ከብትና መሥዋዕትን አቀረባችሁልኝን?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,921,144,666 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK