Results for mbona umevaa nguo za jeshi translation from Swahili to Amharic

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Amharic

Info

Swahili

mbona umevaa nguo za jeshi

Amharic

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Amharic

Info

Swahili

mimi sikutamani hata mara moja fedha, wala dhahabu, wala nguo za mtu yeyote.

Amharic

ከማንም ብር ወይም ወርቅ ወይም ልብስ አልተመኘሁም፤

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tumekuteremshieni nguo za kuficha tupu zenu , na nguo za pambo . na nguo za uchamngu ndio bora .

Amharic

የአዳም ልጆች ሆይ ! ኀፍረተ ገላችሁን የሚሸሽግን ልብስ ጌጥንም በእርግጥ በናንተ ላይ አወረድን ፡ ፡ አላህን የመፍራትም ልብስ ይህ የተሻለ ነው ፡ ፡ ይህ ከአላህ ታምራቶች ነው ፡ ፡ ይገሠጹ ዘንድ ( አወረደላቸው ) ፡ ፡

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jahannamu itakuwa kitanda chao na juu yao nguo za moto za kujifunika . na hivi ndivyo tunavyo walipa madhaalimu .

Amharic

ለእነርሱ ከገሀነም እሳት ( በሥራቸው ) ምንጣፍ ከበላያቸውም ( የእሳት ) መሸፈኛዎች አሏቸው ፡ ፡ እንደዚሁም በደለኞችን እንቀጣለን ፡ ፡

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na hiki kitakuwa kitambulisho kwenu: mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za kitoto, amelazwa horini."

Amharic

ይህም ምልክት ይሆንላችኋል፤ ሕፃን ተጠቅልሎ በግርግምም ተኝቶ ታገኛላችሁ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, akamvika nguo za kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Amharic

የበኵር ልጅዋንም ወለደች፥ በመጠቅለያም ጠቀለለችው፤ በእንግዶችም ማደሪያ ስፍራ ስላልነበራቸው በግርግም አስተኛችው።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

( tukamwambia : ) tengeneza nguo za chuma pana , na kadiria sawa katika kuunganisha . na tendeni mema .

Amharic

ሰፋፊዎችን ጥሩሮች ሥራ ፡ ፡ በአሠራርዋም መጥን ፡ ፡ መልካምንም ሥራ ሥሩ ፡ ፡ እኔ የምትሠሩትን ነገር ሁሉ ተመልካች ነኝና ( አልነው ) ፡ ፡

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wale malaika saba wenye mabaa saba wakatoka humo hekaluni, wakiwa wamevaa nguo za kitani safi zenye kung'aa, na kanda za dhahabu vifuani mwao.

Amharic

ሰባቱንም መቅሠፍት የያዙ ሰባቱ መላእክት ከመቅደሱ ወጡ፤ ከተልባ እግርም የተሠራ ጥሩ የጌጥ ልብስ ለበሱ ደረታቸውንም በወርቅ መታጠቂያ ታጠቁ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

juu yao zipo nguo za hariri laini za kijani kibichi , na hariri nzito ya at'ilasi . na watavikwa vikuku vya fedha , na mola wao mlezi atawanywesha kinywaji safi kabisa .

Amharic

አረንጓዴዎች የኾኑ የቀጭን ሐር ልብሶችና ወፍራም ሐርም በላያቸው ላይ አልለ ፡ ፡ ከብር የኾኑ አንባሮችንም ይሸለማሉ ፡ ፡ ጌታቸውም አጥሪ የኾነን መጠጥ ያጠጣቸዋል ፡ ፡

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hao watapata bustani za milele , zinazo pita mito kati yake . humo watapambwa kwa mavazi ya mikononi ya dhahabu , na watavaa nguo za kijani za hariri na at'ilasi , huku wakiegemea humo juu ya makochi .

Amharic

እነዚያ ለእነሱ የመኖሪያ ገነቶች ከሥሮቻቸው ወንዞች የሚፈሱባቸው አሏቸው ፡ ፡ በእርሷ ውስጥ ከወርቅ የኾኑን አንባሮች ይሸለማሉ ፡ ፡ ከቀጭን ሐርና ከወፍራም ሐርም አረንጓዴን ልብሶች ይለብሳሉ ፡ ፡ በውስጧ በባለ አጎበር አልጋዎች ላይ የተደገፉ ኾነው ( ይቀመጣሉ ) ፡ ፡ ምንዳቸው ምን ያምር ! መደገፊያይቱም ምንኛ አማረች !

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,800,511,502 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK