Results for mheshimiwa translation from Swahili to Amharic

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Amharic

Info

Swahili

mheshimiwa

Amharic

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Amharic

Info

Swahili

mheshimiwa alengot oromait.

Amharic

co.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakamjibu, "mheshimiwa, tunaomba macho yetu yafumbuliwe."

Amharic

ጌታ ሆይ፥ ዓይኖቻችን ይከፈቱ ዘንድ አሉት።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, wakamwambia, "mheshimiwa, tupe daima mkate huo."

Amharic

ስለዚህ። ጌታ ሆይ፥ ይህን እንጀራ ዘወትር ስጠን አሉት።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

huyo mwanamke akamwambia, "mheshimiwa, naona ya kuwa wewe u nabii.

Amharic

ሴቲቱ። ጌታ ሆይ፥ አንተ ነቢይ እንደ ሆንህ አያለሁ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nao wakamwambia: lakini mheshimiwa, huyo ana faida ya kiasi hicho mara kumi!

Amharic

እነርሱም። ጌታ ሆይ፥ አሥር ምናን አለው አሉት።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo mtu akajibu, "mheshimiwa, niambie yeye ni nani, ili nipate kumwamini."

Amharic

እርሱም መልሶ። ጌታ ሆይ፥ በእርሱ አምን ዘንድ ማን ነው? አለ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini paulo akasema, "sina wazimu mheshimiwa festo: ninachosema ni ukweli mtupu.

Amharic

ጳውሎስ ግን እንዲህ አለ። ክቡር ፊስጦስ ሆይ፥ የእውነትንና የአእምሮን ነገር እናገራለሁ እንጂ እብደትስ የለብኝም።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mtumishi wa pili akaja, akasema: mheshimiwa, faida iliyopatikana ni mara tano ya zile fedha ulizonipa.

Amharic

ሁለተኛውም መጥቶ። ጌታ ሆይ፥ ምናንህ አምስት ምናን አተረፈ አለው።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtumishi wa kwanza akatokea, akasema: mheshimiwa, faida iliyopatikana ni mara kumi ya zile fedha ulizonipa.

Amharic

የፊተኛውም ደርሶ። ጌታ ሆይ፥ ምናንህ አሥር ምናን አተረፈ አለው።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wanawake wa mjini wakawa wanasema : mke wa mheshimiwa anamtamani mtumishi wake ! hakika amesalitika kwa mapenzi .

Amharic

በከተማው ያሉ ሴቶችም « የዐዚዝ ሚስት ብላቴናዋን ከነፍሱ ታባብለዋለች ፡ ፡ በእውነቱ ፍቅሩ ልቧን መቷታል ፡ ፡ እኛ በግልጽ ስህተት ውስጥ ሆና በእርግጥ እናያታለን » አሉ ፡ ፡

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mke wa mheshimiwa akasema : sasa haki imedhihiri . mimi ndiye niliye mtaka kinyume na nafsi yake , na hakika yeye ni katika wakweli .

Amharic

( ንጉሡም ) ፡ - « ዩሱፍን ከነፍሱ ባባበላችሁት ጊዜ ነገራችሁ ምንድን ነው » አላቸው ፡ ፡ « ለአላህ ጥራት ይገባው ፡ ፡ በእርሱ ላይ ምንም መጥፎን ነገር አላወቅንም » አሉት ፡ ፡ የዐዚዝ ሚስት ፡ - « አሁን እውነቱ ተገለጸ ፡ ፡ እኔ ከነፍሱ አባበልኩት ፡ ፡ እርሱም ከእውነተኞቹ ነው » አለች ፡ ፡

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo mwanamke akamwambia, "mheshimiwa, nipe maji hayo ili nisione kiu tena; nisije tena mpaka hapa kuteka maji."

Amharic

ሴቲቱ። ጌታ ሆይ፥ እንዳልጠማ ውኃም ልቀዳ ወደዚህ እንዳልመጣ ይህን ውኃ ስጠኝ አለችው።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

naye akajibu, "mheshimiwa, mimi sina mtu wa kunipeleka majini wakati yanapotibuliwa. kila nikijaribu kuingia, mtu mwingine hunitangulia."

Amharic

ድውዩም። ጌታ ሆይ፥ ውኃው በተናወጠ ጊዜ በመጠመቂያይቱ ውስጥ የሚያኖረኝ ሰው የለኝም ነገር ግን እኔ ስመጣ ሳለሁ ሌላው ቀድሞኝ ይወርዳል ብሎ መለሰለት።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

huyo mama akasema, "mheshimiwa, wewe huna chombo cha kutekea maji, nacho kisima ni kirefu; utapata wapi maji yaliyo hai?

Amharic

ሴቲቱ። ጌታ ሆይ፥ መቅጃ የለህም ጕድጓዱም ጥልቅ ነው፤ እንግዲህ የሕይወት ውኃ ከወዴት ታገኛለህ?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ahadi hiyo ndiyo ileile inayotumainiwa na makabila kumi na mawili ya taifa letu, wakimtumikia mungu kwa dhati mchana na usiku. mheshimiwa mfalme, wayahudi wananishtaki kwa sababu ya tumaini hilo!

Amharic

ወደዚህም ወደ ተስፋ ቃል አሥራ ሁለቱ ወገኖቻችን ሌሊትና ቀን በትጋት እያመለኩ ይደርሱ ዘንድ አለኝታ አላቸው፤ ስለዚህም አለኝታ፥ ንጉሥ አግሪጳ ሆይ፥ ከአይሁድ እከሰሳለሁ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kornelio alimkodolea macho huyo malaika kwa hofu, akamwambia, "kuna nini mheshimiwa?" huyo malaika akamwambia, "mungu amezipokea sala na sadaka zako kwa maskini.

Amharic

እርሱም ትኵር ብሎ ሲመለከተው ደንግጦ። ጌታ ሆይ፥ ምንድር ነው? አለ። መልአኩም አለው። ጸሎትህና ምጽዋትህ በእግዚአብሔር ፊት ለመታሰቢያ እንዲሆን አረገ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, mama mmoja mkaanani wa nchi hiyo alimjia, akapaaza sauti: "mheshimiwa, mwana wa daudi, nionee huruma! binti yangu anasumbuliwa na pepo."

Amharic

እነሆም፥ ከነናዊት ሴት ከዚያ አገር ወጥታ። ጌታ ሆይ፥ የዳዊት ልጅ፥ ማረኝ፤ ልጄን ጋኔን ክፉኛ ይዞአታል ብላ ጮኸች።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,787,744,169 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK