Results for mkeka translation from Swahili to Amharic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Amharic

Info

Swahili

yesu akamwambia, "inuka, chukua mkeka wako utembee."

Amharic

ኢየሱስ። ተነሣና አልጋህን ተሸክመህ ሂድ አለው።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nao wakamwuliza, "huyo mtu aliyekwambia: chukua mkeka wako, tembea, ni nani?"

Amharic

እነርሱም። አልጋህን ተሸክመህ ሂድ ያለህ ሰው ማን ነው? ብለው ጠየቁት።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini yeye akawaambia, "yule mtu aliyeniponya ndiye aliyeniambia: chukua mkeka wako, tembea."

Amharic

እርሱ ግን። ያዳነኝ ያ ሰው። አልጋህን ተሸክመህ ሂድ አለኝ ብሎ መለሰላቸው።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa hiyo baadhi ya wayahudi wakamwambia huyo mtu aliyeponywa, "leo ni sabato, si halali kubeba mkeka wako."

Amharic

ያም ቀን ሰንበት ነበረ። ስለዚህ አይሁድ የተፈወሰውን ሰው። ሰንበት ነው አልጋህንም ልትሸከም አልተፈቀደልህም አሉት።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ni lipi lililo rahisi zaidi: kumwambia mtu huyu aliyepooza, umesamehewa dhambi zako, au kumwambia, inuka! chukua mkeka wako utembee?

Amharic

ሽባውን። ኃጢአትህ ተሰረየችልህ ከማለት ወይስ። ተነሣ አልጋህንም ተሸከምና ሂድ ከማለት ማናቸው ይቀላል?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mara, watu wote wakiwa wanamtazama, huyo mtu akainuka, akauchukua mkeka wake, akaenda zake. watu wote wakashangaa na kumtukuza mungu wakisema, "hatujapata kamwe kuona jambo kama hili."

Amharic

ተነሥቶም ወዲያው አልጋውን ተሸክሞ በሁሉ ፊት ወጣ፥ ስለዚህም ሰዎች ሁሉ ተገረሙና። እንዲህ ያለ ከቶ አላየንም ብለው እግዚአብሔርን አከበሩ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,928,411,135 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK