Results for nyumbani translation from Swahili to Amharic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Amharic

Info

Swahili

basi, hao wanafunzi wakarudi nyumbani.

Amharic

ደቀ መዛሙርቱም ወደ ቤታቸው ደግሞ ሄዱ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnapoingia nyumbani wasalimuni wenyeji wake.

Amharic

ወደ ቤትም ስትገቡ ሰላምታ ስጡ፤

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani.

Amharic

የማገልገሉም ወራት ሲፈጸም ወደ ቤቱ ሄደ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na maadui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake.

Amharic

ለሰውም ቤተ ሰዎቹ ጠላቶች ይሆኑበታል።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa.

Amharic

የተላኩትም ወደ ቤት ተመልሰው ባሪያውን ባለ ጤና ሆኖ አገኙት።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

india: waume kuwalipa wake zao kwa kufanya kazi za nyumbani

Amharic

ሕንድ፤ ባሎች ሚስቶቻቸውን ለማጀት ሥራቸው ሊከፍሏቸው ነው?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, "usirudi kijijini!"

Amharic

ወደ ቤቱም ሰደደውና። ወደ መንደሩ አትግባ በመንደሩም ለማንም አንዳች አትናገር አለው።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mtu aliye juu ya paa la nyumba asishuke kuingia nyumbani mwake kuchukua kitu.

Amharic

በሰገነትም ያለ ወደ ቤት አይውረድ ከቤቱም አንዳች ይወስድ ዘንድ አይግባ፥

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naam, najua la kufanya, ili nitakapofukuzwa kazi, watu waweze kunikaribisha nyumbani kwao.

Amharic

ከመጋቢነቱ ብሻር በቤታቸው እንዲቀበሉኝ የማደርገውን አውቃለሁ አለ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtumwa hana makao ya kudumu nyumbani, lakini mwana anayo makao ya kudumu.

Amharic

ባርያም ለዘላለም በቤት አይኖርም፤ ልጁ ለዘላለም ይኖራል።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo, yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani.

Amharic

ዮሴፍም ከእንቅልፉ ነቅቶ የጌታ መልአክ እንዳዘዘው አደረገ፤ እጮኛውንም ወሰደ፤

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye yumo nyumbani kwa simoni mtengenezaji wa ngozi ambaye nyumba yake iko karibu na bahari."

Amharic

እርሱ ቤቱ በባሕር አጠገብ ባለው በቍርበት ፋቂው በስምዖን ዘንድ እንግድነት ተቀምጦአል፤ ልታደርገው የሚገባህን እርሱ ይነግርሃል።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kama mola wako mlezi alivyo kutoa nyumbani kwako kwa haki , na hakika kundi moja la waumini linachukia .

Amharic

( ይህ በዘረፋ ክፍያ የከፊሉ ሰው መጥላት ) ከምእምናን ከፊሉ የጠሉ ሲኾኑ ጌታህ ከቤትህ በእውነት ላይ ኾነህ እንዳወጣህ ነው ፡ ፡

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa sheria hiyo, wafanyakazi wa ndani wanachukuliwa kama " wahandisi wa kazi za nyumbani ".

Amharic

ረቂቅ አዋጁ የቤት ውስጥ ሥራ ፈፃሚዎችን "የጓዳ መሐንዲሶች" በማለት ጠቅሷቸዋል፡፡

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, hao watu waliomkamata yesu walimpeleka nyumbani kwa kayafa, kuhani mkuu, walikokusanyika walimu wa sheria na wazee.

Amharic

ኢየሱስን የያዙትም ጻፎችና ሽማግሎች ወደ ተከማቹበት ወደ ሊቀ ካህናቱ ወደ ቀያፋ ወሰዱት።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nendeni na kanzu yangu hii na mumwekee usoni baba yangu , atakuwa mwenye kuona . na mje nao watu wenu wote wa nyumbani .

Amharic

« ይህንን ቀሚሴን ይዛችሁ ሊዱ ፡ ፡ በአባቴ ፊትም ጣሉት የሚያይ ሆኖ ይመጣልና ፡ ፡ ቤተሰቦቻችሁንም ሰብስባችሁ አምጡልኝ » ( አላቸው ) ፡ ፡

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kesho yake tuliondoka tukaenda kaisarea. huko kaisarea tulikwenda nyumbani kwa mhubiri filipo. yeye alikuwa mmoja wa wale saba waliochaguliwa kule yerusalemu.

Amharic

በነገውም ወጥተን ወደ ቂሣርያ መጣን፥ ከሰባቱም አንድ በሚሆን በወንጌላዊው ፊልጶስ ቤት ገብተን በእርሱ ዘንድ ተቀመጥን።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"siku hiyo, yeyote atakayekuwa juu ya paa asishuke nyumbani kuchukua mali yake. kadhalika, naye atakayekuwa shambani asirudi nyuma.

Amharic

በዚያም ቀን በሰገነት ያለ በቤቱ ያለውን ዕቃ ሊወስድ አይውረድ፥ እንዲሁም በእርሻ ያለ ወደ ኋላው አይመለስ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini kama mtu hawatunzi watu wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani kwake, basi, mtu huyo ameikana imani, na ni mbaya zaidi kuliko mtu asiyeamini.

Amharic

ነገር ግን ለእርሱ ስለ ሆኑት ይልቁንም ስለ ቤተ ሰዎቹ የማያስብ ማንም ቢሆን፥ ሃይማኖትን የካደ ከማያምንም ሰው ይልቅ የሚከፋ ነው።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alitoka katika lile sunagogi, akaenda nyumbani kwa simoni. mama mmoja, mkwewe simoni, alikuwa na homa kali; wakamwomba amponye.

Amharic

በምኵራብም ተነሥቶ ወደ ስምዖን ቤት ገባ። የስምዖንም አማት በብርቱ ንዳድ ታማ ነበር ስለ እርስዋም ለመኑት።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,946,225,453 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK