Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
malaika wa tatu akamwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu.
ثم سكب الملاك الثالث جامه على الانهار وعلى ينابيع المياه فصارت دما.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha malaika wa nne akamwaga bakuli lake juu ya jua. jua likapewa nguvu ya kuwachoma watu kwa moto wake.
ثم سكب الملاك الرابع جامه على الشمس فأعطيت ان تحرق الناس بنار
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha malaika wa pili akamwaga bakuli lake baharini. nayo bahari ikawa damu tupu kama damu ya mtu aliyekufa, na viumbe vyote hai baharini vikafa.
ثم سكب الملاك الثاني جامه على البحر فصار دما كدم ميت. وكل نفس حية ماتت في البحر.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha malaika wa sita akamwaga bakuli lake juu ya mto mkubwa uitwao eufrate. maji yake yakakauka, na hivyo njia ilitengenezwa kwa ajili ya wafalme wa mashariki.
ثم سكب الملاك السادس جامه على النهر الكبير الفرات فنشف ماؤه لكي يعد طريق الملوك الذين من مشرق الشمس.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, malaika wa kwanza akaenda akamwaga bakuli lake juu ya nchi. mara madonda mabaya na ya kuumiza sana yakawapata wote waliokuwa na alama ya yule mnyama, na wale walioiabudu sanamu yake.
فمضى الاول وسكب جامه على الارض فحدثت دمامل خبيثة ورديّة على الناس الذين بهم سمة الوحش والذين يسجدون لصورته
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha malaika wa saba akamwaga bakuli lake hewani. sauti kubwa ikasikika kutoka kwenye kiti cha enzi, hekaluni, ikisema, "mwisho umefika!"
ثم سكب الملاك السابع جامه على الهواء فخرج صوت عظيم من هيكل السماء من العرش قائلا قد تم.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting