From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
akuombaye mpe, na mtu akitaka kukukopa kitu usimnyime.
من سألك فاعطه. ومن اراد ان يقترض منك فلا ترده
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini yeye akitaka kujihakikishia kuwa mwema akamwuliza yesu, "na jirani yangu ni nani?"
واما هو فاذ اراد ان يبرر نفسه قال ليسوع ومن هو قريبي.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
msemo huu ni wa kweli: mtu akitaka kuwa kiongozi katika kanisa, huyo anatamani kazi nzuri.
صادقة هي الكلمة ان ابتغى احد الاسقفية فيشتهي عملا صالحا.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
baadaye mwalimu mmoja wa sheria alisimama akamwuliza akitaka kumtega, "mwalimu, nifanye nini ili nipate uzima wa milele?"
واذا ناموسي قام يجربه قائلا يا معلّم ماذا اعمل لارث الحياة الابدية.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kisha akawaambia watu wote, "mtu yeyote akitaka kuwa mfuasi wangu, ni lazima ajikane nafsi yake, auchukue msalaba wake kila siku, anifuate.
وقال للجميع ان اراد احد ان يأتي ورائي فلينكر نفسه ويحمل صليبه كل يوم ويتبعني.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"au, ni mfalme gani ambaye, akitaka kwenda kupigana na mfalme mwingine, hataketi kwanza chini na kufikiri kama ataweza, kwa askari wake elfu ishirini?
واي ملك ان ذهب لمقاتلة ملك آخر في حرب لا يجلس اولا ويتشاور هل يستطيع ان يلاقي بعشرة آلاف الذي يأتي عليه بعشرين الفا.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kisha, yesu akawaambia mfano huu: "mtu mmoja alikuwa na mtini katika shamba lake. mtu huyu akaenda akitaka kuchuma matunda yake, lakini akaukuta haujazaa hata tunda moja.
وقال هذا المثل. كانت لواحد شجرة تين مغروسة في كرمه. فأتى يطلب فيها ثمرا ولم يجد.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting