From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
huyo mwanamke alimfuata yesu nyuma, akagusa pindo la vazi lake. papo hapo akaponywa ugonjwa wake wa kutokwa damu.
جاءت من ورائه ولمست هدب ثوبه. ففي الحال وقف نزف دمها.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
petro alimfuata yesu kwa mbali, akaingia ndani ya ya wa kuhani mkuu, akaketi pamoja na walinzi akiota moto.
وكان بطرس قد تبعه من بعيد الى داخل دار رئيس الكهنة وكان جالسا بين الخدام يستدفئ عند النار.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mama mmoja, mgonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, alimfuata yesu nyuma, akagusa pindo la vazi lake.
واذا امرأة نازفة دم منذ اثنتي عشرة سنة قد جاءت من ورائه ومسّت هدب ثوبه.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, huyo msichana alimfuata paulo na sisi, akipiga kelele na kusema, "hawa watu ni watumishi wa mungu mkuu. wanawatangazieni njia ya wokovu."
هذه اتبعت بولس وإيانا وصرخت قائلة هؤلاء الناس هم عبيد الله العلي الذين ينادون لكم بطريق الخلاص.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
malaika wa pili alimfuata huyo wa kwanza akisema, "ameanguka! naam, babuloni mkuu ameanguka! babuloni ambaye aliwapa mataifa yote wainywe divai yake--divai kali ya uzinzi wake!"
ثم تبعه ملاك آخر قائلا سقطت سقطت بابل المدينة العظيمة لانها سقت جميع الامم من خمر غضب زناها
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting