Results for amekwisha translation from Swahili to Arabic

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

amekwisha

Arabic

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

yesu alipofika huko alikuta lazaro amekwisha kaa kaburini kwa siku nne.

Arabic

فلما أتى يسوع وجد انه قد صار له اربعة ايام في القبر.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini mimi nawaambieni, atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani, amekwisha zini naye moyoni mwake.

Arabic

واما انا فاقول لكم ان كل من ينظر الى امرأة ليشتهيها فقد زنى بها في قلبه.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tena jambo hili ni dhahiri zaidi: kuhani mwingine anayefanana na melkisedeki amekwisha tokea.

Arabic

وذلك اكثر وضوحا ايضا ان كان على شبه ملكي صادق يقوم كاهن آخر

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana, tunajua kwamba kristo amekwisha fufuliwa kutoka wafu na hafi tena; kifo hakimtawali tena.

Arabic

عالمين ان المسيح بعد ما أقيم من الاموات لا يموت ايضا. لا يسود عليه الموت بعد.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tumaini hilo haliwezi kutuhadaa, maana mungu amekwisha miminia mioyoni mwetu upendo wake kwa njia ya roho mtakatifu aliyetujalia.

Arabic

والرجاء لا يخزي لان محبة الله قد انسكبت في قلوبنا بالروح القدس المعطى لنا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

napenda kuwajulisheni kwamba ndugu yetu timotheo amekwisha funguliwa gerezani. kama akifika hapa mapema, nitakuja naye nitakapokuja kwenu.

Arabic

اعلموا انه قد أطلق الاخ تيموثاوس الذي معه سوف اراكم ان أتى سريعا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini yeye hakumjua huyo mtu aliyemponya, maana yesu alikuwa amekwisha ondoka mahali hapo, kwani palikuwa na umati mkubwa wa watu.

Arabic

اما الذي شفي فلم يكن يعلم من هو. لان يسوع اعتزل. اذ كان في الموضع جمع.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana amekwisha weka siku ambayo atauhukumu ulimwengu kwa haki kwa njia ya mtu mmoja aliyemteua. mungu amewathibitishia wote jambo hili kwa kumfufua mtu huyo kutoka wafu!"

Arabic

‎لانه اقام يوما هو فيه مزمع ان يدين المسكونة بالعدل برجل قد عينه مقدما للجميع ايمانا اذ اقامه من الاموات

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye simoni ambaye alikuwa amekwisha fanya uchawi wake katika mji huo kwa muda na kuwashangaza watu wa samaria, akijiona kuwa yeye ni mtu maarufu.

Arabic

وكان قبلا في المدينة رجل اسمه سيمون يستعمل السحر ويدهش شعب السامرة قائلا انه شيء عظيم‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini sasa wanataka nchi iliyo bora zaidi, yaani nchi ya mbinguni. ndiyo maana mungu haoni haya wakimwita yeye mungu wao, kwa sababu yeye mwenyewe amekwisha watayarishia mji.

Arabic

ولكن الآن يبتغون وطنا افضل اي سماويا. لذلك لا يستحي بهم الله ان يدعى الههم لانه اعدّ لهم مدينة

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa timotheo amekwisha rudi, naye ametupa habari za kufurahisha kuhusu imani na upendo wenu. ametuarifu kwamba mnatukumbuka daima, na kwamba mna hamu ya kutuona sisi kama nasi tulivyo na hamu ya kuwaoneni.

Arabic

واما الآن فاذ جاء الينا تيموثاوس من عندكم وبشرنا بايمانكم ومحبتكم وبان عندكم ذكرا لنا حسنا كل حين وانتم مشتاقون ان ترونا كما نحن ايضا ان نراكم

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alipokuwa bado anaongea, watu walifika kutoka nyumbani kwa yule ofisa wa sunagogi, wakamwambia, "binti yako amekwisha kufa. ya nini kuendelea kumsumbua mwalimu?"

Arabic

وبينما هو يتكلم جاءوا من دار رئيس المجمع قائلين ابنتك ماتت. لماذا تتعب المعلم بعد.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu akamwambia, "aliyekwisha oga hana lazima ya kunawa isipokuwa miguu, maana amekwisha takata mwili wote. ninyi mmetakata, lakini si nyote."

Arabic

قال له يسوع. الذي قد اغتسل ليس له حاجة الا الى غسل رجليه بل هو طاهر كله. وانتم طاهرون ولكن ليس كلكم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini mtu yeyote asiyemkiri kristo hivyo, hana huyo roho atokaye kwa mungu. mtu huyo ana roho ambaye ni wa adui wa kristo; nanyi mlikwisha sikia kwamba anakuja, na sasa tayari amekwisha wasili ulimwenguni!

Arabic

وكل روح لا يعترف بيسوع المسيح انه قد جاء في الجسد فليس من الله. وهذا هو روح ضد المسيح الذي سمعتم انه يأتي والآن هو في العالم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wenyeji wa pale walipokiona kile kiumbe kinaning'inia kwenye mkono wake waliambiana, "bila shaka mtu huyu amekwisha ua mtu, na ingawa ameokoka kuangamia baharini, haki haitamwacha aendelee kuishi!"

Arabic

‎فلما رأى البرابرة الوحش معلقا بيده قال بعضهم لبعض لا بد ان هذا الانسان قاتل لم يدعه العدل يحيا ولو نجا من البحر‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,779,177,532 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK