Results for amri translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

amri

Arabic

سيكون هناك

Last Update: 2023-09-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"mkinipenda mtazishika amri zangu.

Arabic

ان كنتم تحبونني فاحفظوا وصاياي.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hii ndiyo amri kuu ya kwanza.

Arabic

هذه هي الوصية الاولى والعظمى.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninayowaambieni sasa ni mawaidha, si amri.

Arabic

ولكن اقول هذا على سبيل الاذن لا على سبيل الامر.

Last Update: 2013-07-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, amri yangu kwenu ndiyo hii: pendaneni.

Arabic

بهذا اوصيكم حتى تحبوا بعضكم بعضا

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninyi mnaiacha amri ya mungu na kushikilia maagizo ya watu."

Arabic

لانكم تركتم وصية الله وتتمسكون بتقليد الناس. غسل الاباريق والكؤوس وامورا أخر كثيرة مثل هذه تفعلون.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nawapeni amri mpya: pendaneni; pendaneni kama nilivyowapenda ninyi.

Arabic

وصية جديدة انا اعطيكم ان تحبوا بعضكم بعضا. كما احببتكم انا تحبون انتم ايضا بعضكم بعضا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana, dhambi ilichukua fursa iliyopatiwa na amri hiyo, ikanidanganya na kuniua.

Arabic

لان الخطية وهي متخذة فرصة بالوصية خدعتني بها وقتلتني.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nami nikafa. hiyo amri ambayo shabaha yake ilikuwa kuleta uhai, kwangu imeleta kifo.

Arabic

فوجدت الوصية التي للحياة هي نفسها لي للموت.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na, amri yake ndiyo hii: kumwamini mwanae kristo, na kupendana kama alivyotuamuru.

Arabic

وهذه هي وصيته ان نؤمن باسم ابنه يسوع المسيح ونحب بعضنا بعضا كما اعطانا وصية.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, hii ndiyo amri aliyotupa kristo: anayempenda mungu anapaswa pia kumpenda ndugu yake.

Arabic

ولنا هذه الوصية منه ان من يحب الله يحب اخاه ايضا

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkizishika amri zangu mtakaa katika pendo langu, kama vile nami nilivyozishika amri za baba yangu na kukaa katika pendo lake.

Arabic

ان حفظتم وصاياي تثبتون في محبتي كما اني انا قد حفظت وصايا ابي واثبت في محبته.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nami najua kuwa amri yake huleta uzima wa milele. basi, mimi nasema tu yale baba aliyoniagiza niyaseme."

Arabic

وانا اعلم ان وصيته هي حياة ابدية. فما اتكلم انا به فكما قال لي الآب هكذا اتكلم

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

upendo maana yake ni kuishi kwa kuzitii amri zake mungu. amri niliyoisikia tangu mwanzo ndiyo hii: mnapaswa nyote kuishi katika upendo.

Arabic

وهذه هي المحبة ان نسلك بحسب وصاياه. هذه هي الوصية كما سمعتم من البدء ان تسلكوا فيها.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

herode aliamuru ufanywe msako lakini hawakuweza kumpata. hivyo aliamuru wale askari wahojiwe, akatoa amri wauawe. halafu akatoka huko yudea akaenda kaisarea ambako alikaa.

Arabic

‎واما هيرودس فلما طلبه ولم يجده فحص الحراس وأمر ان ينقادوا الى القتل. ثم نزل من اليهودية الى قيصرية واقام هناك

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa nasibu, moja ya amri za kifalme zilizotolewa leo ilikuwa ni kuundwa kwa chombo kipya cha kidinikitachoshughulikia fatwa (amri za kidini).

Arabic

ومن المصادف أنه من ضمن الأوامر الملكية التي جاءت اليوم إنشاء مجمع فقهي جديد لتقنين الفتوى.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,634,193,661 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK