Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wamwulize: "je, wewe ni yule anayekuja, au tumngoje mwingine?"
وقال له انت هو الآتي ام ننتظر آخر.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wote anaonipa baba watakuja kwangu; nami sitamtupa nje yeyote anayekuja kwangu,
كل ما يعطيني الآب فاليّ يقبل ومن يقبل اليّ لا اخرجه خارجا.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
nitawapeni mfano unaofaa kuonyesha alivyo yeyote yule anayekuja kwangu, akasikia maneno yangu na kuyatimiza:
كل من يأتي اليّ ويسمع كلامي ويعمل به اريكم من يشبه.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
watu walipoiona ishara hiyo aliyoifanya yesu, wakasema, "hakika huyu ndiye nabii anayekuja ulimwenguni."
فلما رأى الناس الآية التي صنعها يسوع قالوا ان هذا هو بالحقيقة النبي الآتي الى العالم.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"mimi ni alfa na omega," asema bwana mungu mwenye uwezo, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja.
انا هو الالف والياء البداية والنهاية يقول الرب الكائن والذي كان والذي يأتي القادر على كل شيء
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mimi ninawabatizeni kwa maji kuonyesha kwamba mmetubu. lakini yule anayekuja baada yangu ana uwezo kuliko mimi. mimi sistahili hata kubeba viatu vyake. yeye atawabatizeni kwa roho mtakatifu na kwa moto.
انا اعمدكم بماء للتوبة. ولكن الذي يأتي بعدي هو اقوى مني الذي لست اهلا ان احمل حذاءه. هو سيعمدكم بالروح القدس ونار.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
"anayekuja kutoka juu ni mkuu kuliko wote; atokaye duniani ni wa dunia, na huongea mambo ya kidunia. lakini anayekuja kutoka mbinguni ni mkuu kuliko wote.
الذي يأتي من فوق هو فوق الجميع. والذي من الارض هو ارضي ومن الارض يتكلم. الذي يأتي من السماء هو فوق الجميع.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
viumbe hivyo vinne vilikuwa na mabawa sita kila kimoja, na vilikuwa vimejaa macho, ndani na nje. usiku na mchana, bila kupumzika huimba: "mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu ni bwana, mungu mwenye uwezo, aliyekuwako, aliyeko na anayekuja!"
والاربعة الحيوانات لكل واحد منها ستة اجنحة حولها ومن داخل مملوءة عيونا ولا تزال نهارا وليلا قائلة قدوس قدوس قدوس الرب الاله القادر على كل شيء الذي كان والكائن والذي يأتي.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting