From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa kuwa bwana arusi alikawia kuja, wale wanawali wote wote walisinzia, wakalala.
وفيما ابطأ العريس نعسن جميعهن ونمن.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
"ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.
يشبه ملكوت السموات انسانا ملكا صنع عرسا لابنه.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
siku ya tatu kulikuwa na arusi mjini kana, mkoani galilaya. mama yake yesu alikuwapo,
وفي اليوم الثالث كان عرس في قانا الجليل وكانت ام يسوع هناك.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
"mfalme alipoingia kuwaona wageni, akamwona mtu mmoja ambaye hakuvaa mavazi ya arusi.
فلما دخل الملك لينظر المتكئين رأى هناك انسانا لم يكن لابسا لباس العرس.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kisha akawaambia watumishi wake: karamu ya arusi iko tayari kweli, lakini walioalikwa hawakustahili.
ثم قال لعبيده اما العرس فمستعد واما المدعوون فلم يكونوا مستحقين.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao, na wakati huo ndipo watakapofunga."
ولكن ستأتي ايام حين يرفع العريس عنهم فحينئذ يصومون في تلك الايام.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
yesu akawajibu, "je, mnaweza kuwataka wale walioalikwa arusini wafunge hali bwana arusi yuko pamoja nao?
فقال لهم أتقدرون ان تجعلوا بني العرس يصومون ما دام العريس معهم.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
nikaona mji mtakatifu, yerusalemu mpya, ukishuka kutoka kwa mungu mbinguni. ulikuwa umetayarishwa vizuri kama bibi arusi aliyepambwa tayari kukutana na mumewe.
وانا يوحنا رأيت المدينة المقدسة اورشليم الجديدة نازلة من السماء من عند الله مهيأة كعروس مزينة لرجلها.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
bibiarusi ni wake bwanaarusi, lakini rafiki yake bwana arusi, anayesimama na kusikiliza, hufurahi sana anapomsikia bwana arusi akisema. ndivyo furaha yangu ilivyokamilishwa.
من له العروس فهو العريس. واما صديق العريس الذي يقف ويسمعه فيفرح فرحا من اجل صوت العريس. اذا فرحي هذا قد كمل.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanga wa taa hautaonekana tena ndani yako; sauti za bwana arusi na bibi arusi hazitasikika tena ndani yako. wafanyabiashara wako walikuwa wakuu duniani, na kwa uchawi wako mataifa yote yalipotoshwa!"
ونور سراج لن يضيء فيك فيما بعد. وصوت عريس وعروس لن يسمع فيك فيما بعد. لان تجارك كانوا عظماء الارض. اذ بسحرك ضلت جميع الامم.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mkuu wa karamu alipoonja hayo maji, kumbe yalikuwa yamegeuka kuwa divai. yeye hakujua ilikotoka, (lakini wale watumishi waliochota maji walijua). mkuu wa karamu akamwita bwana arusi,
فلما ذاق رئيس المتكإ الماء المتحول خمرا ولم يكن يعلم من اين هي. لكن الخدام الذين كانوا قد استقوا الماء علموا. دعا رئيس المتكإ العريس
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: