Results for dhambi translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

dhambi

Arabic

خطيئة

Last Update: 2014-02-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mungu akusamehe dhambi zako

Arabic

الله يغفر لنا

Last Update: 2024-02-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

wamekosea kuhusu dhambi kwa sababu hawaniamini;

Arabic

اما على خطية فلانهم لا يؤمنون بي.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sadaka za kuteketezwa au za kuondoa dhambi hazikupendezi.

Arabic

بمحرقات وذبائح للخطية لم تسرّ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi, tubuni mkamrudie mungu ili afute dhambi zenu.

Arabic

‎فتوبوا وارجعوا لتمحى خطاياكم لكي تأتي اوقات الفرج من وجه الرب.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

watu wote wametenda dhambi na wametindikiwa utukufu wa mungu.

Arabic

اذ الجميع اخطأوا واعوزهم مجد الله.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

ambaye kwa njia yake tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa.

Arabic

الذي لنا فيه الفداء بدمه غفران الخطايا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi, yesu akamwambia yule mwanamke, "umesamehewa dhambi zako."

Arabic

ثم قال لها مغفورة لك خطاياك.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ninyi mlikuwa mmekufa kwa sababu ya makosa na dhambi zenu.

Arabic

وانتم اذ كنتم امواتا بالذنوب والخطايا

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mlikombolewa kutoka utumwa wa dhambi, mkawa watumwa wa uadilifu.

Arabic

واذ أعتقتم من الخطية صرتم عبيدا للبر.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo.

Arabic

ثم الشهوة اذا حبلت تلد خطية والخطية اذا كملت تنتج موتا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

ni dhahiri kwangu kwamba umejaa wivu mkali na mfungwa wa dhambi!"

Arabic

‎لاني اراك في مرارة المرّ ورباط الظلم‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana, dhambi ilichukua fursa iliyopatiwa na amri hiyo, ikanidanganya na kuniua.

Arabic

لان الخطية وهي متخذة فرصة بالوصية خدعتني بها وقتلتني.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

tukisema kwamba hatuna dhambi, tunajidanganya wenyewe na ukweli haumo ndani yetu.

Arabic

ان قلنا انه ليس لنا خطية نضل انفسنا وليس الحق فينا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

maana katika kupambana na dhambi, ninyi hamjapigana mpaka kiasi cha kumwaga damu yenu.

Arabic

لم تقاوموا بعد حتى الدم مجاهدين ضد الخطية

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kwa hiyo, dhambi isiitawale tena miili yenu ambayo hufa, na hivyo kuzitii tamaa zake.

Arabic

اذا لا تملكنّ الخطية في جسدكم المائت لكي تطيعوها في شهواته.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kweli, sisi kwa asili ni wayahudi, na si watu wa mataifa mengine hao wenye dhambi!

Arabic

نحن بالطبيعة يهود ولسنا من الامم خطاة

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

tuseme nini basi? je, twendelee kubaki katika dhambi ili neema ya mungu iongezeke?

Arabic

فماذا نقول. أنبقى في الخطية لكي تكثر النعمة.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

maana, dhambi haitawatawala ninyi tena, kwani hamko chini ya sheria, bali chini ya neema.

Arabic

فان الخطية لن تسودكم لانكم لستم تحت الناموس بل تحت النعمة

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

lakini mungu amethibitisha kwamba anatupenda, maana wakati tulipokuwa bado wenye dhambi, kristo alikufa kwa ajili yetu.

Arabic

ولكن الله بيّن محبته لنا لانه ونحن بعد خطاة مات المسيح لاجلنا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,928,305,463 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK