Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
yeye husema yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna mtu anayekubali ujumbe wake.
وما رآه وسمعه به يشهد وشهادته ليس احد يقبلها.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wao husema mambo ya ulimwengu, nao ulimwengu huwasikiliza kwani wao ni wa ulimwengu.
هم من العالم. من اجل ذلك يتكلمون من العالم والعالم يسمع لهم.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha masadukayo, ambao husema kwamba wafu hawafufuki, wakamjia yesu, wakasema:
وحضر قوم من الصدوقيين الذين يقاومون امر القيامة وسألوه
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yule aliyetumwa na mungu husema maneno ya mungu, maana mungu humjalia mtu huyo roho wake bila kipimo.
لان الذي ارسله الله يتكلم بكلام الله. لانه ليس بكيل يعطي الله الروح.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
enyi kizazi cha nyoka! mnawezaje kusema mambo mema hali ninyi ni waovu? maana mtu husema kutokana na yale yaliyojaa moyoni.
يا اولاد الافاعي كيف تقدرون ان تتكلموا بالصالحات وانتم اشرار. فانه من فضلة القلب يتكلم الفم.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini yesu akawajibu, "wakati wa jioni ukifika ninyi husema: hali ya hewa itakuwa nzuri kwa maana anga ni jekundu!
فاجاب وقال لهم اذا كان المساء قلتم صحو. لان السماء محمرة.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wala hakuna mtu ambaye hutamani kunywa divai mpya baada ya kunywa ya zamani, kwani husema: ile ya zamani ni nzuri zaidi."
وليس احد اذا شرب العتيق يريد للوقت الجديد لانه يقول العتيق اطيب
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ninyi ni watoto wa baba yenu ibilisi na mnataka tu kutekeleza tamaa za baba yenu. yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo; hana msimamo katika ukweli, kwani ukweli haumo ndani yake. kila asemapo uongo, husema kutokana na hali yake ya maumbile, maana yeye ni mwongo na baba wa uongo.
انتم من اب هو ابليس وشهوات ابيكم تريدون ان تعملوا. ذاك كان قتالا للناس من البدء ولم يثبت في الحق لانه ليس فيه حق. متى تكلم بالكذب فانما يتكلم مما له لانه كذاب وابو الكذاب.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: