Results for itakavyokuwa translation from Swahili to Arabic

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

itakavyokuwa

Arabic

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

ndivyo itakavyokuwa siku ile mwana wa mtu atakapofunuliwa.

Arabic

هكذا يكون في اليوم الذي فيه يظهر ابن الانسان

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama vile magugu yanavyokusanywa kuchomwa moto, ndivyo itakavyokuwa mwishoni mwa nyakati;

Arabic

فكما يجمع الزوان ويحرق بالنار هكذا يكون في انقضاء هذا العالم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana kama ilivyokuwa nyakati za noa, ndivyo itakavyokuwa kuja kwake mwana wa mtu.

Arabic

وكما كانت ايام نوح كذلك يكون ايضا مجيء ابن الانسان.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndivyo itakavyokuwa mwishoni mwa nyakati: malaika watatokea, watawatenganisha watu wabaya na watu wema,

Arabic

هكذا يكون في انقضاء العالم. يخرج الملائكة ويفرزون الاشرار من بين الابرار.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawakujua kuna nini mpaka ile gharika ilipotokea, ikawakumba wote. ndivyo itakavyokuwa wakati mwana wa mtu atakapokuja.

Arabic

ولم يعلموا حتى جاء الطوفان واخذ الجميع. كذلك يكون ايضا مجيء ابن الانسان.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akatazama pande zote, akawaambia wanafunzi wake, "jinsi gani itakavyokuwa vigumu kwa matajiri kuingia katika ufalme wa mungu!"

Arabic

فنظر يسوع حوله وقال لتلاميذه ما اعسر دخول ذوي الاموال الى ملكوت الله.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

huenda kuwachukua pepo wengine saba, wabaya kuliko yeye; na wote huja wakamwingia huyo mtu. na hali ya mtu huyo sasa huwa mbaya kuliko hapo mwanzo. ndivyo itakavyokuwa kwa watu hawa waovu."

Arabic

ثم يذهب وياخذ معه سبعة ارواح أخر اشر منه فتدخل وتسكن هناك. فتصير اواخر ذلك الانسان اشر من اوائله. هكذا يكون ايضا لهذا الجيل الشرير

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,787,122,415 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK