From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ninalo jukumu kwa watu wote, waliostaarabika na wasiostaarabika, wenye elimu na wasio na elimu.
اني مديون لليونانيين والبرابرة للحكماء والجهلاء.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yote ni kazi ya mungu mwenye kutupatanisha sisi naye kwa njia ya kristo, akatupa nasi jukumu la kuwapatanisha watu naye.
ولكن الكل من الله الذي صالحنا لنفسه بيسوع المسيح واعطانا خدمة المصالحة
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hivyo basi, ndugu zangu, tunalo jukumu, lakini si la kuishi kufuatana na maumbile ya kibinadamu.
فاذا ايها الاخوة نحن مديونون ليس للجسد لنعيش حسب الجسد.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha nikamwona malaika mwingine akipanda juu kutoka mashariki akiwa na mhuri wa mungu aliye hai. akapaaza sauti na kuwaambia hao malaika wanne waliokabidhiwa jukumu la kuiharibu nchi na bahari,
ورأيت ملاكا آخر طالعا من مشرق الشمس معه ختم الله الحي فنادى بصوت عظيم الى الملائكة الاربعة الذين أعطوا ان يضروا الارض والبحر
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
katika mfululizo mpya wa cosmos, víctor r. ruíz anaonyesha jinsi ambavyo kutafuta maarifa ya kisayansi limekuwa ni jukumu la kijamii na kisayansi katika nyanja za umma:
في صلة للمسلسل التلفزيوني العلمي الوثائقي الأمريكي الجديد "الكون"، يبين الإسباني فيكتور رويز كيف أصبح البحث العلمي مسؤولية العلماء الاجتماعية تجاه الرأي العام:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ningekuwa nimeichagua kazi hii kwa hiari, basi, ningetazamia malipo; lakini maadam naifanya ikiwa ni wajibu, hiyo ina maana kwamba ni jukumu nililopewa nitekeleze.
فانه ان كنت افعل هذا طوعا فلي اجر. ولكن ان كان كرها فقد استؤمنت على وكالة.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
gumzo la tarehe 27 mwezi wa pili lilitoa tamko kama vile umuhimu wa kublogu kwa watu walioathirika na virusi vya ukimwi na jukumu katika upelekaji na ushawishi wa maarifa,lakini kikubwa lililenga kwenye muongozo wa kublogu vyema ,muongozo ulitengenezwa na global voices kutoa ushauri tunu jinsi ya kublogu kuhusu masuala ya virusi vya ukimwi na ukimwi.
ففي يوم 27 فبراير نوقشت مواضيع مثل كيف يكون التدوين مهما لمرضي الإيدز، والأدوار المهمة للنصح وما إلى ذلك.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kama baadhi kura za maoni ya hivi karibuni zinaonyesha, 90% ya wa-brazil wanaunga kupunguza umri wa miaka kwa jukumu la jinai, na 61% wanaamini kwamba uhalifu unasababishwa na tabia mbaya za watu.
تظهر استطلاعات الرأي الأخيرة أن نحو 90٪ من البرازيليين يدعمون تخفيض سن المسؤولية الجنائية، و 61٪ يعتقدون أن سبب الإجرام هو شخصية الناس السيئة.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: