Results for kafarnaumu translation from Swahili to Arabic

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

kafarnaumu

Arabic

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

yesu alisema hayo alipokuwa akifundisha katika sunagogi kule kafarnaumu.

Arabic

قال هذا في المجمع وهو يعلم في كفرناحوم

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, yesu alikwenda kafarnaumu.

Arabic

ولما اكمل اقواله كلها في مسامع الشعب دخل كفرناحوم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alipokuwa anaingia mjini kafarnaumu, ofisa mmoja mroma alimwendea, akamsihi

Arabic

ولما دخل يسوع كفرناحوم جاء اليه قائد مئة يطلب اليه

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya siku kadhaa, yesu alirudi kafarnaumu, watu wakapata habari kwamba alikuwa nyumbani.

Arabic

ثم دخل كفرناحوم ايضا بعد ايام فسمع انه في بيت.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakapanda mashua ili wavuke kwenda kafarnaumu. giza lilikuwa limeingia, na yesu alikuwa hajawafikia bado.

Arabic

فدخلوا السفينة وكانوا يذهبون الى عبر البحر الى كفرناحوم. وكان الظلام قد اقبل ولم يكن يسوع قد أتى اليهم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakafika mjini kafarnaumu, na mara ilipofika sabato, yesu akaingia katika sunagogi, akaanza kufundisha.

Arabic

ثم دخلوا كفرناحوم وللوقت دخل المجمع في السبت وصار يعلم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wewe kafarnaumu, unataka kujikweza mpaka mbinguni? la; utaporomoshwa mpaka kuzimu."

Arabic

وانت يا كفرناحوم المرتفعة الى السماء ستهبطين الى الهاوية.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, hao watu walipogundua kwamba yesu na wanafunzi wake hawakuwapo mahali hapo, walipanda mashua, wakaenda kafarnaumu wakimtafuta.

Arabic

فلما رأى الجمع ان يسوع ليس هو هناك ولا تلاميذه دخلوا هم ايضا السفن وجاءوا الى كفرناحوم يطلبون يسوع.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya hayo, yesu alishuka pamoja na mama yake, ndugu zake na wanafunzi wake, wakaenda kafarnaumu ambako walikaa kwa siku chache.

Arabic

وبعد هذا انحدر الى كفرناحوم هو وامه واخوته وتلاميذه واقاموا هناك اياما ليست كثيرة.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliondoka nazareti, akaenda kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya genesareti, mpakani mwa wilaya za zabuloni na naftali, akakaa huko.

Arabic

وترك الناصرة واتى فسكن في كفرناحوم التي عند البحر في تخوم زبولون ونفتاليم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alifika tena huko mjini kana, mkoani galilaya, mahali alipogeuza maji kuwa divai. kulikuwa na ofisa mmoja aliyekuwa na mtoto mgonjwa huko kafarnaumu.

Arabic

فجاء يسوع ايضا الى قانا الجليل حيث صنع الماء خمرا. وكان خادم للملك ابنه مريض في كفرناحوم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipofika kafarnaumu watu wenye kukusanya fedha ya zaka ya hekalu walimwendea petro, wakamwuliza, "je, mwalimu wenu hulipa fedha ya zaka?"

Arabic

ولما جاءوا الى كفر ناحوم تقدم الذين ياخذون الدرهمين الى بطرس وقالوا أما يوفي معلمكم الدرهمين.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na wewe kafarnaumu, je, utajikweza mpaka mbinguni? utaporomoshwa mpaka kuzimu! maana, kama miujiza iliyofanyika kwako ingalifanyika kule sodoma, mji huo ungalikuwako mpaka hivi leo.

Arabic

وانت يا كفرناحوم المرتفعة الى السماء ستهبطين الى الهاوية. لانه لو صنعت في سدوم القوات المصنوعة فيك لبقيت الى اليوم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye akawaambia, "bila shaka mtaniambia msemo huu: mganga jiponye mwenyewe, na pia mtasema: yote tuliyosikia umeyafanya kule kafarnaumu, yafanye hapa pia katika kijiji chako."

Arabic

فقال لهم. على كل حال تقولون لي هذا المثل ايها الطبيب اشفي نفسك. كم سمعنا انه جرى في كفر ناحوم فافعل ذلك هنا ايضا في وطنك.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,747,070,352 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK