From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ikiwa hakimu anasema kuwa mafaili ya mkosefu yatapelekwa kwa mufti mkuu kwa ajili ya ushauri inamaanisha katika mazingira mengi kwamba mkosefu atakutana na adhabu ya kifo.
• عندما يحيل القاضي أوراق القضية لفضيلة المفتي فى معظم الأحيان يواجه المدان عقوبة الإعدام
mnamo tarehe 3 julai, 2012 kituo cha televisheni cha al jazeera ilionesha makala ambayo yalihusu uchunguzi wa kifo cha kutatanisha cha rais wa palestina yasser arafat.
في 3 من يوليو/ تموز بثت قناة الجزيرة الإخبارية وثائقياً يتضمن تحقيقاً عن موت الرئيس الفلسطيني ياسر عرفات الغامض.
kama vile dhambi ilivyotawala kwa kifo, kadhalika neema inatawala kwa njia ya uadilifu, na kuleta uzima wa milele kwa njia ya yesu kristo bwana wetu.
حتى كما ملكت الخطية في الموت هكذا تملك النعمة بالبر للحياة الابدية بيسوع المسيح ربنا
adhabu ya kifo inahitaji maoni ya mufti mkuu ili kuiunga mkono kutokana na mtazamo wa kidini, mtazamo wa sharia ili kuitimiza hukumu. siyo kila siku watu hutoa adhabu ya kifo kwa yeyote.
يحتاج حكم الإعدام رأي المفتى لدعمه من الناحية الدينية,وجهه نظر الشريعة لتحقيق العدالة ,لا تحكم كل يوم على وفاة شخص.
blogu ya middle east intitute inaripoti: kundi la talaat mustafa (tmg), ubia mkubwa wa biashara ya majengo ambao mustafa alitengeneza mabilioni, hautaki wadau wahofu kwa sababu tu mwenye kampuni amehukumiwa adhabu ya kifo.
ومن ناحية أخرى، توجد شكوك وتساؤلات حول صورة هشام البارزة فى مجال العقارات، حيث تقول مدونة محرري معهد الشرق الأوسط :