Results for kuchinjwa translation from Swahili to Arabic

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

kuchinjwa

Arabic

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

mmeishi duniani maisha ya kujifurahisha na ya anasa. mmejinenepesha tayari kwa siku ya kuchinjwa.

Arabic

قد ترفهتم على الارض وتنعمتم وربيتم قلوبكم كما في يوم الذبح.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anaogopeshwa na habari kama hii ya hivi karibuni ya kuchinjwa kwa watu kadhaa nchini libya na kundi la isis, na anaamini kuwa kwa kuwaelimisha watoto wa libya kutasaidia kukomesha kuenea kwa ukatili huu.

Arabic

كما أنها تشعر بالقلق حيال أخبار مثل قطع رؤوس مجموعة من الرجال في ليبيا على يد داعش، وتأمل أن يحد تعليم الأطفال الليبيين من انتشار التطرف.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu hao ambao hutukana chochote kile wasichoelewa, ni sawa na wanyama wasio na akili, ambao huzaliwa na baadaye hukamatwa na kuchinjwa! wataangamizwa kutokana na uharibifu wao wenyewe,

Arabic

اما هؤلاء فكحيوانات غير ناطقة طبيعية مولودة للصيد والهلاك يفترون على ما يجهلون فسيهلكون في فسادهم

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari, nyumba ambayo washia waliyokuwa kikikutania huko giza, jijini cairo, ilishambuliwa na kuchomwa moto. kwa mujibu wa habari kutoka al badil, mtu mmoja alikaririwa kutoka kwenye chumba cha kuhifadhia maiti ambaye alisema kuwa, mmoja kati ya watu waliouawa kwa kuchinjwa na wengine watatu walijeruhiwa vibaya vichwani mwao.

Arabic

وفقاً لتقارير مختلفة فإن المنزل الذي كان يجتمع فيه الشيعة يقع في الجيزة تمت مهاجمته وحرقه، وقد أوردت صحفية البديل تقريراً من المشرحة يفيد بأن أحد القتلى تم ذبحه بينما أصيب الثلاثة الباقون بجروح في رأسهم وقد أثارت هذه الحادثة المرعبة جدلاً واسعاً على الإنترنت.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,747,187,627 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK