From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
anachukua fursa hiyo pia kupendekeza orodha ya vitabu anavyosoma mbavyo havijatoka kwa waandishi wa kifaransa kivile, ambao ni gabriel garcia marquez wa colombia au khaled hosseini wa iran:
وتوصي بكتب فى قائمتها الحالية للقراءة بغير الفرنسية مثل غابرييل غارسيا ماركيز من كولومبيا أو خالد حسيني من إيران:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kuna serikali zinazofikiri kupendekeza kupanua mamlaka ya itu ili isimamie utawala wa intaneti kwa njia ambazo pengine zitatishia uhuru na ubunifu katika kutumia intaneti, huenda hatua hiyo itaongeza gharama za kutumia huduma, na hata pengine kumomonyoa haki za watu za mtandaoni.
تقترح بعض الحكومات مد سلطة الاتحاد لإدارة الإنترنت بطرق قد تهدد انفتاح الإنترنت وتهدد الابتكار والإبداع، تزيد من نفقات الوصول للإنترنت، وتهدد حقوق الإنسان على الإنترنت.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: