Results for kutoweka translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

ninyi hamjui hata maisha yenu yatakavyokuwa kesho! ninyi ni kama ukungu unaotokea kwa muda mfupi tu na kutoweka tena.

Arabic

انتم الذين لا تعرفون امر الغد. لانه ما هي حياتكم. انها بخار يظهر قليلا ثم يضمحل.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

neno hili: "tena" linatuonyesha kwamba vitu vyote vilivyoumbwa vitatetemeshwa na kutoweka ili vibaki vile visivyotetemeshwa.

Arabic

فقوله مرة ايضا يدل على تغيّر الاشياء المتزعزعة كمصنوعة لكي تبقى التي لا تتزعزع.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

waliposikia hivyo, wakaanza kutoweka mmojammoja, wakitanguliwa na wazee. yesu akabaki peke yake, na yule mwanamke amesimama palepale.

Arabic

واما هم فلما سمعوا وكانت ضمائرهم تبكّتهم خرجوا واحدا فواحدا مبتدئين من الشيوخ الى الآخرين. وبقي يسوع وحده والمرأة واقفة في الوسط.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kupitia kampeni hii ya mtandaoni, tunahitaji kuwatambua na kuwahamasisha watumiaji wa mtandao wa intaneti wanaotumia lugha zao za asili kwenye mtandao wa twita hususani kwenye lugha za wenyeji, zilizo kwenye hatari ya kutoweka na zinazozungumzwa na watu wachache, zote zikiwa hazijawakilishwa ipasavyo mtandaoni.

Arabic

وفي هذه الحملة الإلكترونية نريد إلقاء الضوء على مستخدمي الإنترنت الذين يستخدمون لغتهم الأم على تويتر وتشجيعهم، مع تركيز خاص على لغات السكان الأصليين، والأقليات، واللغات المهددة بالانقراض، وكلها لغات غير ممثلة بشكل كاف على الإنترنت.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa malengo ya siku ya kimataifa za lugha asili mnamo februari 21, rising voices, kwa kushirikiana na washirika wetu katika maandalizi taasisi ya living tongues , mradi wa lugha zilizo hatarini kutoweka, na indigenous tweets, ikiwa ni pamoja na washirika wengi washiriki, tunaungana kuzindua kampeni ya “twiti kwa #lughaasili.”

Arabic

يمر اليوم الدولي للغة الأم في الحادي والعشرين من فبراير / شباط، وتشارك الأصوات الصاعدة، مع شركاء آخرين مثل معهد الألسنة الحية، مشروع اللغات المهددة، ومشروع تغريدات السكان الأصليين، بالإضافة إلى مساهمة شركاء آخرين، في إنشاء حملة: غرد ب#لغتك_الأم.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,945,633,178 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK