Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
anayeapa kwa madhabahu ameapa kwa hiyo madhabahu, na kwa chochote kilichowekwa juu yake.
فان من حلف بالمذبح فقد حلف به وبكل ما عليه.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
malaika wa bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani.
فظهر له ملاك الرب واقفا عن يمين مذبح البخور.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
chukueni, kwa mfano, wayahudi wenyewe: kwao, wenye kula vilivyotambikiwa madhabahuni waliungana na hiyo madhabahu.
انظروا اسرائيل حسب الجسد. أليس الذين يأكلون الذبائح هم شركاء المذبح.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha malaika wa sita akapiga tarumbeta yake. nami nikasikia sauti moja kutoka katika pembe nne za madhabahu ya dhahabu iliyokuwa mbele ya mungu.
ثم بوق الملاك السادس فسمعت صوتا واحدا من اربعة قرون مذبح الذهب الذي امام الله
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
tangu kumwagwa damu ya abeli mpaka kifo cha zakariya ambaye walimuua kati ya madhabahu na mahali patakatifu. naam, hakika kizazi hiki kitaadhibiwa kwa matendo haya.
من دم هابيل الى دم زكريا الذي اهلك بين المذبح والبيت. نعم اقول لكم انه يطلب من هذا الجيل.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
enyi vipofu! ni kipi kilicho cha maana zaidi: ile zawadi, au madhabahu ambayo hufanya hiyo zawadi kuwa takatifu?
ايها الجهال والعميان ايما اعظم القربان أم المذبح الذي يقدس القربان.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha mwanakondoo akavunja mhuri wa tano. nikaona pale chini ya madhabahu ya kufukizia ubani roho za wale waliouawa kwa sababu ya ujumbe wa mungu, na kwa sababu ya ushuhuda waliotoa.
ولما فتح الختم الخامس رأيت تحت المذبح نفوس الذين قتلوا من اجل كلمة الله ومن اجل الشهادة التي كانت عندهم.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
sababu yenyewe ni kwamba katika pitapita yangu niliangalia sanamu zenu za ibada nikakuta madhabahu moja ambayo imeandikwa: kwa ajili ya mungu yule asiyejulikana. basi, huyo mnayemwabudu bila kujua, ndiye ninayemhubiri kwenu.
لانني بينما كنت اجتاز وانظر الى معبوداتكم وجدت ايضا مذبحا مكتوبا عليه. لاله مجهول. فالذي تتقونه وانتم تجهلونه هذا انا انادي لكم به.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: