From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini yeye akaikataa.
واعطوه خمرا ممزوجة بمرّ ليشرب فلم يقبل.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
naye nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea yesu usiku, akaja akiwa amechukua mchanganyiko wa manemane na ubani kiasi cha kilo thelathini.
وجاء ايضا نيقوديموس الذي أتى اولا الى يسوع ليلا وهو حامل مزيج مرّ وعود نحو مئة منا.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, wakaingia nyumbani, wakamwona yule mtoto pamoja na maria mama yake; wakapiga magoti, wakamsujudia. kisha wakafungua hazina zao, wakampa zawadi: dhahabu, ubani na manemane.
وأتوا الى البيت ورأوا الصبي مع مريم امه. فخروا وسجدوا له. ثم فتحوا كنوزهم وقدموا له هدايا ذهبا ولبانا ومرّا.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: