From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
marashi
english
Last Update: 2024-09-07
Usage Frequency: 1
Quality:
huyu mama amenimiminia marashi ili kunitayarisha kwa maziko.
فانها اذ سكبت هذا الطيب على جسدي انما فعلت ذلك لاجل تكفيني.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yeye amefanya alivyoweza; ameupaka mwili wangu marashi kuutayarisha kwa maziko.
عملت ما عندها. قد سبقت ودهنت بالطيب جسدي للتكفين.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
marashi haya yangaliweza kuuzwa kwa bei kubwa, maskini wakapewa hizo fedha."
لانه كان يمكن ان يباع هذا الطيب بكثير ويعطى للفقراء.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"kwa nini marashi hayo hayakuuzwa kwa fedha dinari mia tatu, wakapewa maskini?"
لماذا لم يبع هذا الطيب بثلاث مئة دينار ويعط للفقراء.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
baadhi ya watu waliokuwa hapo walikasirika wakajisemea, "kwa nini kupoteza ovyo marashi haya?
وكان قوم مغتاظين في انفسهم فقالوا لماذا كان تلف الطيب هذا.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
maria ndiye yule aliyempaka bwana marashi na kumpangusa kwa nywele zake. lazaro, kaka yake, ndiye aliyekuwa mgonjwa.)
وكانت مريم التي كان لعازر اخوها مريضا هي التي دهنت الرب بطيب ومسحت رجليه بشعرها.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, maria alichukua chupa ya marashi ya nardo safi ya thamani kubwa, akampaka yesu miguu na kuipangusa kwa nywele zake. nyumba yote ikajaa harufu ya marashi.
فاخذت مريم منا من طيب ناردين خالص كثير الثمن ودهنت قدمي يسوع ومسحت قدميه بشعرها. فامتلأ البيت من رائحة الطيب.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
akaja, akasimama karibu na miguu yake yesu, akilia, na machozi yake yakamdondokea yesu miguuni. huyo mwanamke akaipangusa miguu ya yesu kwa nywele zake. kisha akaibusu na kuipaka yale marashi.
ووقفت عند قدميه من ورائه باكية وابتدأت تبل قدميه بالدموع وكانت تمسحهما بشعر راسها وتقبل قدميه وتدهنهما بالطيب.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alikuwa bethania, nyumbani kwa simoni, mkoma. alipokuwa mezani kula chakula, mama mmoja aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye marashi ya nardo safi ya thamani kubwa alikuja, akaivunja hiyo chupa, akammiminia yesu marashi hayo kichwani.
وفيما هو في بيت عنيا في بيت سمعان الابرص وهو متكئ جاءت امرأة معها قارورة طيب ناردين خالص كثير الثمن. فكسرت القارورة وسكبته على راسه.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: