From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hakuna mtu yeyote aliyetindikiwa kitu, maana waliokuwa na mashamba au nyumba walikuwa wanaviuza
اذ لم يكن فيهم احد محتاجا لان كل الذين كانوا اصحاب حقول او بيوت كانوا يبيعونها ويأتون باثمان المبيعات
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa upande mwingine, watoto wanaotumikishwa katika mashamba ya miwa hufanya kazi za palizi, kuvuna pamoja na kuchota maji.
يعمل الأطفال في حقول زيت النخيل كبائع الفاكهة أو في عملية الحصاد أو النقل، في حين يعمل الأطفال في مزارع قصب السكر في إزالة الأعشاب الضارة والحصاد وجلب المياه.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwwa kuwa mashamba mengi makubwa hutumia viuatilifu, watoto wanaofanya kazi katika mashamba haya huwa katika hatari kubwa ya kuathiriwa na viuatilifu hivi.
ويتعرض الأطفال بشكل مباشر للمواد الكيميائية الضارة حيث أنها تستخدم في المزارع التي يعملون بها.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwenye jamii za watu wanaohusika na mahsmba makubwa, takribani asilimia 22.5 ya makazi ya watu yana watoto wanaofanya kazi katika mashamba hayo.
في مجتمعات المزارع، وحوالي 22. 5 في المئة من الأسر لديها طفل عامل.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
siku moja ya sabato, yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano. walipokuwa wanatembea, wanafunzi wake wakaanza kukwanyua masuke ya ngano.
واجتاز في السبت بين الزروع. فابتدأ تلاميذه يقطفون السنابل وهم سائرون.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
-msisitizo wa snim kuendelea kuwatumia wafanyakazi raia wa mauritania kwa njia ambayo inaleta kumbukumbu za unyonyaji uliokuwa ukifanywa dhidi ya wafanyakazi waafika katika mashamba ya miwa katika miongo iliyopita.
- إصرار شركة "اسنيم" على المواصلة في استغلال العمال الموريتانيين في مشهد يعيد إلى الأذهان قصص استغلال العمال الأفارقة في مزارع قصب السكر في القارة الأمريكية في القرون البائدة؛
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kwenye mashamba makubwa, magari huwachukua watoto kutoka majumbani kwao na kuwapeleka kujenga mahema karibu na maeneo ya miji na kasha huishi humo wakifanya kazi kwa vipindi vya kati ya wiki mbili hadi mwezi mmoja na bila ya kuwa na wazazi wao.
تلتقط الشاحنات الأطفال من منازلهم وتقوم بوضعهم في خيم بدائية تقع في محافظات مجاورة للمزارع، للإقامة والعمل لفترات تتراوح مدتها من أسبوعين إلى شهر بدون والديهم.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sehemu kubwa ya mahindi inalimwa na wakulima wadogo ambao wanakabiliwa na hali ya ukame wa mara kwa mara hata nyakati za majira ya mvua, ugavi wa mbolea usioaminika na wenye gharama kubwa, na matatizo ya usafiri kati ya mashamba yao na yaliko masoko ya mahindi.
يُزرع أغلب محصول الذرة من قبل الفلاح القروي الذي يواجه الجفاف بانتظام خلال الموسم المطير، وإمداد سيء بسماد باهظ، بالإضافة إلى صعوبات نقل السلعة إلى الأسواق.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ninyi mwasema: bado miezi minne tu, na wakati wa mavuno utafika! lakini mimi nawaambieni, yatazameni mashamba; mazao yako tayari kuvunwa.
أما تقولون انه يكون اربعة اشهر ثم يأتي الحصاد. ها انا اقول لكم ارفعوا اعينكم وانظروا الحقول انها قد ابيضّت للحصاد.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
tukiwa tunaelekea kwenye bandari ya veracruz, tulisimama mjini yanga ambapo tuliona mashamba ya kilimo yaliyosheheni caña pamoja na mahindi kila mahali, pia yalionekana mashamba makubwa ya kahawa; hali ya hewa ya kitropiki inakufanya uendelee kukaa nje ili kuliota jua.
في طريقنا لميناء فيراكروز، توقفنا في مدينة يانغا ورأينا الحقول الزراعية المليئة بنباتات قصب السكر والذّرة التي تحيط بالمنطقة، والتي تنتشر فيها أيضًا مزارع القهوة.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwaka 2011, ofisi ya takwimu ya ufilipino ilitaarifu kuwa kulikuwa na watoto milioni 5.5 waliokuwa wakitu mikishwa, miongoni mwao, milioni 2.9 walikuwa wakifanya kazi kwenye viwanda vilivyo hatari kwa afya yao kama vile vya migodi na mashamba makubwa.
يزداد أوضاع عمل الأطفال سوءًا في الفلبين، حيث أفاد مكتب الإحصاء الوطني الفلبيني في عام 2011 أن هناك 5.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: