Results for sadaka translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

sadaka

Arabic

قربان

Last Update: 2014-10-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sadaka za kuteketezwa au za kuondoa dhambi hazikupendezi.

Arabic

بمحرقات وذبائح للخطية لم تسرّ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

akasema: kornelio! sala yako na sadaka zako kwa maskini vimekubaliwa na mungu.

Arabic

وقال يا كرنيليوس سمعت صلاتك وذكرت صدقاتك امام الله‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya hekalu,

Arabic

وتطلع فرأى الاغنياء يلقون قرابينهم في الخزانة.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

nanyi waume, wapendeni wake zenu kama kristo alivyolipenda kanisa, akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake.

Arabic

ايها الرجال احبوا نساءكم كما احب المسيح ايضا الكنيسة واسلم نفسه لاجلها

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi ukatoe sadaka yako.

Arabic

فاترك هناك قربانك قدام المذبح واذهب اولا اصطلح مع اخيك. وحينئذ تعال وقدم قربانك.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

pia walikwenda ili watoe sadaka: hua wawili au makinda wawili ya njiwa, kama ilivyotakiwa katika sheria ya bwana.

Arabic

ولكي يقدموا ذبيحة كما قيل في ناموس الرب زوج يمام او فرخي حمام

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mwaka huu sherehe ya utoaji sadaka imekuja mapema gaza, ambapo sadaka ya watoto na mali ilitolewa. pamoja na masahibu yote haya, gaza inahitaji kusherehekea idi

Arabic

#غزة هذا العام عيد الأضحى اجى عندها بكير ضحت بأبناءها وفلذات أكبادها ضحت بممتلكاتها .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

hivi ndivyo upendo ulivyo: si kwamba sisi tulikuwa tumempenda mungu kwanza, bali kwamba yeye alitupenda hata akamtuma mwanae awe sadaka ya kutuondolea dhambi zetu.

Arabic

في هذه هي المحبة ليس اننا نحن احببنا الله بل انه هو احبنا وارسل ابنه كفارة لخطايانا

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kwa maana, wengine wote wametoa sadaka zao kutokana na ziada ya mali zao, lakini huyu mama, ingawa ni maskini, ametoa kila kitu alichohitaji kwa kuishi."

Arabic

لان هؤلاء من فضلتهم ألقوا في قرابين الله. واما هذه فمن اعوازها ألقت كل المعيشة التي لها

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha yesu akamwambia, "sikiliza, usimwambie mtu yeyote, ila nenda ukajionyeshe kwa kuhani, na ukatoe sadaka iliyoamriwa na mose kuwathibitishia kwamba umepona."

Arabic

فقال له يسوع انظر ان لا تقول لأحد. بل اذهب أر نفسك للكاهن وقدم القربان الذي امر به موسى شهادة لهم

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

malaika mwingine akafika, akiwa anachukua chetezo cha dhahabu, akasimama mbele ya madhabahu ya kufukizia ubani. naye akapewa ubani mwingi autoe sadaka pamoja na sala za watu wote wa mungu, juu ya madhabahu ya dhahabu iliyo mbele ya kiti cha enzi.

Arabic

وجاء ملاك آخر ووقف عند المذبح ومعه مبخرة من ذهب وأعطي بخورا كثيرا لكي يقدمه مع صلوات القديسين جميعهم على مذبح الذهب الذي امام العرش.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

lakini mungu aliondoka kati yao, akawaacha waabudu nyota za anga, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii: enyi watu wa israeli! si mimi mliyenitolea dhabihu na sadaka kwa muda wa miaka arobaini kule jangwani!

Arabic

‎فرجع الله واسلمهم ليعبدوا جند السماء كما هو مكتوب في كتاب الانبياء. هل قربتم لي ذبائح وقرابين اربعين سنة في البرية يا بيت اسرائيل‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,646,133,291 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK