Results for shukrani translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

shukrani

Arabic

التدبير

Last Update: 2024-07-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shukrani kwa: nathaniel janowitz.

Arabic

المصدر: ناثانيل جانووتز.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sala yako ya shukrani yaweza kweli kuwa bora, lakini huyo mwingine haitamfaidia.

Arabic

فانك انت تشكر حسنا ولكن الآخر لا يبنى.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani nyingi kwako kila mahali.

Arabic

اننا حاصلون بواسطتك على سلام جزيل وقد صارت لهذه الامة مصالح بتدبيرك فنقبل ذلك ايها العزيز فيلكس بكل شكر في كل زمان وكل مكان‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shukrani ziwaendee wasanii wa uchoraji kuta ambao picha zao za ukutani za kupendeza zinaonekana maeneo mbalimbali ya jiji.

Arabic

يعود هذا التحول الجذري لاسم سان بيدرو سولا إلى جهود أبنائها من الفنانين الذين برعوا في الرسم على جدران مدينتهم حيث غطت الجداريات الملونة والزاهية جميع أنحاء سان بيدرو سولا.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila kitu alichoumba mungu ni chema, wala hakuna kinachohitaji kukataliwa, bali vyote vipokelewe kwa sala ya shukrani,

Arabic

لان كل خليقة الله جيده ولا يرفض شيء اذا اخذ مع الشكر

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnapaswa kuwa na mizizi ndani yake, kujijenga juu yake na kuwa imara katika imani yenu kama mlivyofundishwa. muwe na shukrani tele.

Arabic

متأصلين ومبنيين فيه وموطدين في الايمان كما علّمتم متفاضلين فيه بالشكر.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pia, shukrani zetu za dhati ziiendee mamlaka ya jiji la cebu kwa kuturuhusu kutumia jengo lao tukufu la provincial capitol kwa muda wa siku mbili.

Arabic

نشكر محافظة سيبو لإتاحة مبنى البرلمان ليومين كاملين.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtandao wa global voices kwa sasa unapatikana katika zaidi ya lugha 30 tofauti shukrani za pekee kwa wahariri na wafasiri wetu wanaojitolea kwenye mradi wetu wa lingua.

Arabic

الأصوات العالمية متاحة حاليًا بأكثر من 30 لغة مختلفة، فشكرًا لمترجمي ومحرري مشروع لينجوا الأصوات العالمية المتطوعين المدهشين.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shukrani zetu za dhati kabisa ziwaendee wafadhili wetu wa masuala ya habari sunstar publishing, pamoja na wafadhili wetu wa mawasiliano globe telecom na smart communications.

Arabic

ولم يكن للمؤتمر أن ينجح هذا النجاح بدون الدعم اللامحدود الذي تلقيناه من مضيفينا في الفلبين.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nayo amani ya kristo itawale mioyoni mwenu; maana kwa ajili hiyo ninyi mmeitwa katika mwili huo mmoja. tena muwe na shukrani!

Arabic

وليملك في قلوبكم سلام الله الذي اليه دعيتم في جسد واحد. وكونوا شاكرين

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yote haya ni kwa faida yenu; ili kama vile neema ya mungu inavyoenea kwa watu wengi zaidi na zaidi vivyo hivyo watu wengi zaidi watoe shukrani nyingi kwa utukufu wa mungu.

Arabic

لان جميع الاشياء هي من اجلكم لكي تكون النعمة وهي قد كثرت بالاكثرين تزيد الشكر لمجد الله.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu hao hufundisha kwamba ni makosa kuona na pia kula vyakula fulani. lakini mungu aliviumba vyakula hivyo, ili wale walio waumini na ambao wanapata kuujua ukweli, wavitumie kwa shukrani.

Arabic

مانعين عن الزواج وآمرين ان يمتنع عن اطعمة قد خلقها الله لتتناول بالشكر من المؤمنين وعارفي الحق.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shukrani nyingi kwa msaada wa watu wengi duniani kote, na tovuti ya kampeni tayari imetafsiriwa kwenye lugha zipatazo 25, ikiwa ni pamoja na odia, sena, na ki-lezgia.

Arabic

تمت ترجمة موقع الحملة، بفضل الكثير من المساهمين حول العالم، إلى خمس وعشرين لغة، من ضمنها: الأوديّة، سينا، لزجيان.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shukrani za dhati kwa wafadhili wetu wa kimataifa: ford foundation, macarthur foundation, google, open society foundations, knight foundation, yahoo! na automattic.

Arabic

المشاركون، والذين جاءوا من داخل وخارج الفلبين، ومن كل أنحاء العالم، ليكونوا جزءًا من الحدث.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shukrani za kipekee pia ziwaendee doris isubal-mongaya na timu yake ya prworks kwa kutumia maarifa na ujuzi wao wa hali ya juu uliofanya maisha yetu ya cebu, kwa namna kadha wa kadha, kuwa ya kipekee sana-pia tunashukuru sana kwa zawadi ya video iliyochukuliwa kutokea angani.

Arabic

نشكر بشكل خاص دوريس إزابيل-مونجايا وفريقها في بي آر ووركس لمهاراتهم التنظيمية الأكثر من رائعة، ولمساتهم التي تنم عن الخبرة الطويلة، والتي جعلت الوقت الذي أمضيناه في سيبو رائعًا وخاصًا - وهديتهم الفيديو السابق.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,733,318 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK