Results for shuleni translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

watoto wanaofatumikishwa kazi warudi shuleni.

Arabic

عودة الأطفال العاملين إلى المدرسة.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilishapoteza tumaini la kuwa siku moja nitarudi tena shuleni, na nilifikiri kuwa mwimbaji badala yake.

Arabic

فقدت أمل الرجوع مرة أخري إلى المدرسة، وقلت لنفسي بأنني سأكون مغنية بدلًا من ذلك.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wayahudi wakashangaa na kusema "mtu huyu amepataje elimu naye hakusoma shuleni?"

Arabic

فتعجب اليهود قائلين كيف هذا يعرف الكتب وهو لم يتعلّم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wakati anatekwa na wanaume hao, msichana huyo alikuwa ndio kwanza ameingia darasa la tano shuleni kwake.

Arabic

يستند فيلم “difret” إلى قصة الفتاة آبيراش بيكيلي – تدعى هيروت في الفيلم – التي اختُطفت من قبل رجال على ظهر أحصنة خارج قريتها الريفية عندما كانت في صفها الخامس في المدرسة.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

moja ya miradi yao ni balik-eskuwela (rudi shuleni) ambao una lengo la kuwarudisha mashuleni watoto wanaotumikishwa.

Arabic

أحد برامجها هو (العودة إلى المدرسة) balik-eskuwela الذييستهدف الأطفال العاملين.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

“nimekuwa nikisikia mara nyingi juu ya ukosefu wa vyoo kwa wanawake au ukosefu wa vyoo kwa ujumla; kwamba wasichana wa rika la kuwa wali huko mashambani huamka saa 10 za alfajiri kwenda nje kwenye giza kufanya shughuli zao ili wasitaniwe na wavulana shuleni au huacha kwenda shule kabisa.

Arabic

"سمعت أكثر من مرة حول انعدام مرافق الصحة العامة للنساء، أو انعدام وجود المراحيض بشكل عام؛ حتى أنّ الفتيات في الريف يضطرون للاستيقاظ الساعة 4 فجراً للخروج تحت جنح الظلام وقضاء حاجتهم، حتى لا يتنمر عليهم الصبية أو يتوقفوا عن الذهاب إلى المدرسة أبداً.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,797,442,247 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK