Results for baadaye translation from Swahili to Armenian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Armenian

Info

Swahili

baadaye

Armenian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Armenian

Info

Swahili

yuda wa yakobo na yuda iskarioti ambaye baadaye alikuwa msaliti.

Armenian

Յակոբի որդի Յուդային եւ Իսկարիովտացի Յուդային, որը եւ մատնիչ եղաւ:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akamjibu, "huelewi sasa ninachofanya lakini utaelewa baadaye."

Armenian

Յիսուս պատասխանեց նրան ու ասաց. «Ինչ որ ես անում եմ, դու հիմա չես իմանում, բայց յետոյ կ՚իմանաս»:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baadaye wale wanawali wengine wakaja, wakaita: bwana, bwana, tufungulie!

Armenian

Յետոյ եկան միւս կոյսերն էլ ու ասացին. «Տէ՛ր, տէ՛ր, բա՛ց արա»:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadaye yesu aliwatokea wanafunzi wawili akiwa na sura nyingine. wanafunzi hao walikuwa wanakwenda shambani.

Armenian

Յետոյ Յիսուս այլ կերպարանքով երեւաց նրանց, որոնք հանդ էին գնում:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadaye elisabeti mkewe akapata mimba. akajificha nyumbani kwa muda wa miezi mitano, akisema:

Armenian

Այդ օրերից յետոյ նրա կինը՝ Եղիսաբեթը յղիացաւ: Հինգ ամիս նա թաքցնում էր ինքն իրեն եւ ասում.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku kadhaa baadaye, maria alifunga safari akaenda kwa haraka hadi mji mmoja ulioko katika milima ya yuda.

Armenian

Այդ օրերին Մարիամը վեր կացաւ եւ շտապով գնաց Յուդայի լեռնային շրջանի քաղաքներից մէկը,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadaye kidogo yesu alikwenda katika mji mmoja uitwao naini, na wafuasi wake pamoja na kundi kubwa la watu waliandamana naye.

Armenian

Հետեւեալ օրը Յիսուս գնում էր մի քաղաք, որ Նային էր կոչւում. նրա հետ էին գնում նաեւ իր աշակերտները եւ բազում ժողովուրդ:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

heri ninyi mnaosikia njaa sasa, maana baadaye mtashiba. heri ninyi mnaolia sasa, maana baadaye mtacheka kwa furaha.

Armenian

- Երանի՜ նրանց, որ այժմ լալիս են, որովհետեւ պիտի ծիծաղեն:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ole wenu ninyi mnaoshiba sasa, maana baadaye mtasikia njaa. ole wenu ninyi mnaocheka kwa furaha sasa, maana baadaye mtaomboleza na kulia.

Armenian

- Վա՜յ ձեզ, որ այժմ ծիծաղում էք, որովհետեւ պիտի սգաք ու պիտի լաք:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadaye, wale sabini na wawili walirudi wamejaa furaha, wakisema, "bwana, hata pepo wametutii tulipolitaja jina lako."

Armenian

Եօթանասուներկուսը վերադարձան խնդութեամբ եւ ասացին. «Տէ՛ր, դեւերն էլ են մեզ հնազանդւում քո անունով»:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baadaye, yesu alikuwa amekaa mezani, nyumbani kwa lawi, kula chakula. watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuwa wamemfuata yesu na wengi wao wakawa wamekaa mezani pamoja naye na wanafunzi wake.

Armenian

Եւ երբ Յիսուս նրա տանը սեղան նստեց, բազում մաքսաւորներ եւ մեղաւորներ էլ Յիսուսի ու նրա աշակերտների հետ սեղան նստեցին, որովհետեւ շատերն էին նրա յետեւից գնում:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

simoni petro akamwuliza, "bwana, unakwenda wapi?" yesu akajibu, "niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye."

Armenian

Սիմոն Պետրոսը նրան ասաց. «Տէ՛ր, ո՞ւր ես գնում»: Յիսուս պատասխանեց. «Ուր ես եմ գնում, դու այժմ իմ յետեւից չես կարող գալ, բայց յետոյ կը գաս իմ յետեւից»:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baadaye kidogo, mtu mwingine akamwona petro, akasema, "wewe ni mmoja wao." lakini petro akajibu "bwana we; si mimi!"

Armenian

Եւ քիչ յետոյ մէկ ուրիշը տեսաւ նրան եւ ասաց. «Դո՛ւ էլ նրանցից ես»: Պետրոսն ասաց. «Ո՛վ մարդ, ես նրանցից չեմ»:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,793,282,135 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK