Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
akawaendea tena, akawakuta wamelala, maana macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi.
Եւ գալով՝ դարձեալ նրանց քնի մէջ գտաւ, որովհետեւ նրանց աչքերը ծանրացել էին:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
wao walidhani kwamba alikuwa amesema juu ya kulala usingizi, kumbe alikuwa amesema juu ya kifo cha lazaro.
Բայց Յիսուս նրա մահուան մասին էր ասում, մինչդեռ նրանց այնպէս թուաց, թէ նա քնով ննջելու մասին է խօսում:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha akarudi tena, akawakuta wamelala. macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi. hawakujua la kumjibu.
Կրկին անգամ դարձաւ այնտեղ եւ նրանց քնի մէջ գտաւ. որովհետեւ նրանց աչքերը ծանրացել էին, եւ չէին իմանում, թէ ինչ պատասխան տան նրան:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
petro na wenzake walikuwa wamelemewa na usingizi mzito, hata hivyo waliamka, wakauona utukufu wake, wakawaona na wale watu wawili waliokuwa wamesimama pamoja naye.
Իսկ Պետրոսը եւ նրա հետ գտնուողները քնի ծանրութեան տակ՝ արթնացան ու տեսան նրա փառքը եւ երկու մարդկանց, որոնք նրա մօտ կանգնած էին:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
walipokuwa wanasafiri kwa mashua, yesu alishikwa na usingizi, akalala. dhoruba kali ikaanza kuvuma, maji yakaanza kuingia ndani ya mashua, wakawa katika hatari.
Մինչ նաւարկում էին, նա քուն մտաւ: Եւ ծովակի վրայ քամու մի մրրիկ իջաւ. ծովը ուռչում էր, նաւակը ջրով լցնում. եւ նրանք տագնապի էին մատնուել:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: