Results for uko poa translation from Swahili to Bosnian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Bosnian

Info

Swahili

hakika wewe uko kwenye njia iliyo nyooka.

Bosnian

uistinu, ti si na putu pravom.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkono wa mwenyezi mungu uko juu ya mikono yao.

Bosnian

ruka allahova je iznad ruku njihovih.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwenye kutaka utukufu basi utukufu wote uko kwa mwenyezi mungu.

Bosnian

ako neko želi veličinu, pa – u allaha je sva veličina!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi mtegemee mweneyezi mungu; hakika wewe uko juu ya haki iliyo wazi.

Bosnian

zato se pouzdaj u allaha, jer ti, doista, slijediš pravu istinu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi wewe yashike yaliyo funuliwa kwako. hakika wewe uko kwenye njia iliyo nyooka.

Bosnian

zato se drži onoga što ti se objavljuje, jer ti si, uistinu, na pravome putu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na waite watu kwendea kwa mola wako mlezi. hakika wewe uko kwenye uwongofu ulio nyooka.

Bosnian

ti pozivaj svome gospodaru jer ti si, uistinu, na pravome putu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali, na muda maalumu uko kwake tu.

Bosnian

on je taj koji vas je stvorio od ilovače, zatim odredio rok.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sema: uombezi wote uko kwa mwenyezi mungu. ni wake yeye tu ufalme wa mbingu na ardhi.

Bosnian

reci: "allahovo je posredovanje svako, njegova je vlast nebesa i zemlje, zatim se njemu vraćate."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

bila ya shaka wanao fungamana nawe, kwa hakika wanafungamana na mwenyezi mungu. mkono wa mwenyezi mungu uko juu ya mikono yao.

Bosnian

oni koji su ti se zakleli na vjernost – zakleli su se, doista, na vjernost samome allahu – allahova ruka je iznad ruku njihovih!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ametukuka mwenye ufalme wa mbingu na ardhi na viliomo ndani yake. na uko kwake ujuzi wa saa ya kiyama, na kwake yeye mtarudishwa.

Bosnian

i neka je blagoslovljen onaj čija je vlast nebesa i zemlje i onog što je između njih; a kod njega je znanje Časa i njemu ćete biti vraćeni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwenye kutaka utukufu basi utukufu wote uko kwa mwenyezi mungu. kwake yeye hupanda neno zuri, na a'mali njema yeye huitukuza.

Bosnian

ko želi moć - pa allahova je moć sva.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakasema: tuna kisirani nawe na wale walio pamoja nawe. yeye akasema: uaguzi wa ukorofi wenu uko kwa mwenyezi mungu; lakini nyinyi ni watu mnao jaribiwa.

Bosnian

"mi smatramo hrđavim predznakom tebe i one koji su s tobom!" – rekoše oni. – "od allaha vam je i dobro i zlo" – reče on – "vi ste narod koji je stavljen u iskušenje."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,917,262,188 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK