Results for kaburi translation from Swahili to Bulgarian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Bulgarian

Info

Swahili

walikuta lile jiwe limeviringishwa mbali na kaburi.

Bulgarian

И намериха камъка отвален от гроба.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao wakawa wanaambiana, "nani atakayetuondolea lile jiwe mlangoni mwa kaburi?"

Bulgarian

И в първия ден на седмицата дохождат на гроба много рано, когато изгрея слънцето.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

walinzi wa lile kaburi wakatetemeka kwa hofu kubwa, hata wakawa kama wamekufa.

Bulgarian

И в страха си от него стражарите трепереха, и станаха като мъртви.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakaenda, wakalilinda kaburi, wakatia mhuri juu ya lile jiwe na kuacha hapo askari walinzi.

Bulgarian

Те, прочее, отидоха и вардиха гроба, като запечатаха гроба с помощта на стражата.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maria alikuwa amesimama nje ya kaburi, akilia. huku akiwa bado analia, aliinama na kuchungulia kaburini,

Bulgarian

Тоя е хлябът, който слиза от небето, за да яде някой от него и да не умре.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, kwa sababu ya shughuli za wayahudi za maandalio ya sabato, na kwa vile kaburi hilo lilikuwa karibu, wakamweka yesu humo.

Bulgarian

И ако чуе някой думите Ми и не ги пази, Аз не го съдя; защото не дойдох да съдя света, но да спася света.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya sabato, karibu na mapambazuko ya siku ile ya jumapili, maria magdalene na yule maria mwingine walikwenda kutazama lile kaburi.

Bulgarian

А като се мина съботата, на първия ден от седмицата, дойдоха Мария Магдалина и другата Мария да видят гроба.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo amuru kaburi lilindwe mpaka siku ya tatu ili wanafunzi wake wasije wakamwiba na kuwaambia watu kwamba amefufuka. uongo huu wa mwisho utakuwa mbaya kuliko ule wa awali."

Bulgarian

Заповядай, прочее, гробът да се пази здраво до третия ден, да не би учениците Му да дойдат и да Го откраднат, и кажат на народа: Възкръсна от мъртвите. Така последната измама ще бъде по-лоша от първата.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hapo yosefu akanunua sanda ya kitani, akauteremsha chini huo mwili, akauzungushia sanda. akauweka katika kaburi lililokuwa limechongwa mwambani, kisha akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango.

Bulgarian

И той купи плащаница, и като го сне, обви го в плащаницата, и положи го в гроб, който бе изсечен в скала, и привали камък върху гробната врата.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"ndugu zangu, napenda kuwaambieni waziwazi juu ya mambo yaliyompata daudi, babu yetu. yeye alikufa, akazikwa, tena kaburi lake liko papa hapa petu mpaka leo.

Bulgarian

Братя, мога да ви кажа свободно за Патриарха Давида, че и умря и биде погребан, и гробът му е у нас до тоя ден.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,951,627,670 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK