Results for walimfuata translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

watu wengi walimfuata huko, naye akawaponya.

Chinese (Simplified)

有 許 多 人 跟 著 他 . 他 就 在 那 裡 把 他 們 的 病 人 治 好 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana kundi kubwa la watu walimfuata wakipiga kelele, "muulie mbali!"

Chinese (Simplified)

眾 人 跟 在 後 面 、 喊 著 說 、 除 掉 他

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hawa walimfuata yesu alipokuwa galilaya na kumtumikia. kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja yerusalemu pamoja naye.

Chinese (Simplified)

就 是 耶 穌 在 加 利 利 的 時 候 、 跟 隨 他 、 服 事 他 的 那 些 人 、 還 有 同 耶 穌 上 耶 路 撒 冷 的 好 些 婦 女 在 那 裡 觀 看

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na bila ya shaka iblisi alihakikisha ile dhana yake juu yao. nao walimfuata, isipo kuwa kundi la waumini.

Chinese (Simplified)

. 易卜劣斯确已发现他对他们的猜测是正确的,因为他们都追随他;只有一伙信士除外。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wale watu walipojua alikokwenda, walimfuata. yesu akawakaribisha akawazungumzia juu ya ufalme wa mungu, akawaponya wale waliohitaji kuponywa.

Chinese (Simplified)

但 眾 人 知 道 了 、 就 跟 著 他 去 . 耶 穌 便 接 待 他 們 、 對 他 們 講 論   神 國 的 道 、 醫 治 那 些 需 醫 的 人

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makundi mengi ya watu kutoka galilaya, dekapoli, yerusalemu, yudea na ng'ambo ya mto yordani, walimfuata.

Chinese (Simplified)

當 下 、 有 許 多 人 從 加 利 利 、 低 加 波 利 、 耶 路 撒 冷 、 猶 太 、 約 但 河 外 、 來 跟 著 他

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wayahudi waliokuwa nyumbani pamoja na maria wakimfariji walipomwona ameinuka na kutoka nje ghafla, walimfuata. walidhani alikuwa anakwenda kaburini kuomboleza.

Chinese (Simplified)

那 些 同 馬 利 亞 在 家 裡 安 慰 他 的 猶 太 人 、 見 他 急 忙 起 來 出 去 、 就 跟 著 他 . 以 為 他 要 往 墳 墓 那 裡 去 哭

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

simoni petro pamoja na mwanafunzi mwingine walimfuata yesu. huyo mwanafunzi mwingine alikuwa anajulikana kwa kuhani mkuu, hivyo aliingia pamoja na yesu ndani ya ukumbi wa kuhani mkuu.

Chinese (Simplified)

西 門 彼 得 跟 著 耶 穌 、 還 有 一 個 門 徒 跟 著 . 那 門 徒 是 大 祭 司 所 認 識 的 . 他 就 同 耶 穌 進 了 大 祭 司 的 院 子

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,954,056,366 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK