Results for jemadari translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

pilato alipoarifiwa na huyo jemadari kwamba yesu alikuwa amekwisha kufa, akamruhusu yosefu auchukue mwili wake.

Chinese (Simplified)

既 從 百 夫 長 得 知 實 情 、 就 把 耶 穌 的 屍 首 賜 給 約 瑟

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yule jemadari aliposikia habari za yesu, aliwatuma wazee fulani wayahudi waende kumwomba aje amponye mtumishi wake.

Chinese (Simplified)

百 夫 長 風 聞 耶 穌 的 事 、 就 託 猶 太 人 的 幾 個 長 老 、 去 求 耶 穌 來 救 他 的 僕 人

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huko kulikuwa na jemadari mmoja mroma ambaye alikuwa na mtumishi wake aliyempenda sana. huyu mtumishi alikuwa mgonjwa karibu kufa.

Chinese (Simplified)

有 一 個 百 夫 長 所 寶 貴 的 僕 人 、 害 病 快 要 死 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo, yule jemadari alipoona yaliyotukia akamsifu mungu akisema: "hakika huyu alikuwa mtu mwema."

Chinese (Simplified)

百 夫 長 看 見 所 成 的 事 、 就 歸 榮 耀 與   神 說 、 這 真 是 個 義 人

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kulikuwa na mtu mmoja huko kaisarea aitwaye kornelio, jemadari wa kikosi kimoja kiitwacho "kikosi cha italia."

Chinese (Simplified)

在 該 撒 利 亞 有 一 個 人 、 名 叫 哥 尼 流 、 是 義 大 利 營 的 百 夫 長

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mara, mkuu wa jeshi akawachukua askari na jemadari, akalikabili lile kundi la watu. nao walipomwona mkuu wa jeshi na askari, wakaacha kumpiga paulo.

Chinese (Simplified)

千 夫 長 立 時 帶 著 兵 丁 、 和 幾 個 百 夫 長 、 跑 下 去 到 他 們 那 裡 . 他 們 見 了 千 夫 長 和 兵 丁 、 就 止 住 不 打 保 羅

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jemadari mmoja aliyekuwa amesimama mbele yake aliona jinsi yesu alivyolia kwa sauti na kukata roho, akasema, "kweli mtu huyu alikuwa mwana wa mungu!"

Chinese (Simplified)

對 面 站 著 的 百 夫 長 、 看 見 耶 穌 這 樣 喊 叫 斷 氣 、 〔 有 古 卷 無 喊 叫 二 字 〕 就 說 、 這 人 真 是   神 的 兒 子

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini walipokwisha mfunga ili wamchape viboko, paulo alimwuliza jemadari mmoja aliyesimama hapo, "je, ni halali kwenu kumpiga viboko raia wa roma kabla hajahukumiwa?"

Chinese (Simplified)

剛 用 皮 條 捆 上 、 保 羅 對 旁 邊 站 著 的 百 夫 長 說 、 人 是 羅 馬 人 、 又 沒 有 定 罪 、 你 們 就 鞭 打 他 、 有 這 個 例

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, jemadari na wale waliokuwa wakimlinda yesu walipoona tetemeko la ardhi na yale mambo yaliyotukia, wakaogopa sana, wakasema, "hakika mtu huyu alikuwa mwana wa mungu."

Chinese (Simplified)

百 夫 長 和 一 同 看 守 耶 穌 的 人 、 看 見 地 震 、 並 所 經 歷 的 事 、 就 極 其 害 怕 、 說 、 這 真 是   神 的 兒 子 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, yesu akaenda pamoja nao. alipokuwa karibu kufika nyumbani kwa yule jemadari mroma, yule jemadari aliwatuma marafiki zake wamwambie yesu: "bwana, usijisumbue zaidi, maana mimi sistahili uingie nyumbani mwangu.

Chinese (Simplified)

耶 穌 就 和 他 們 同 去 。 離 那 家 不 遠 、 百 夫 長 託 幾 個 朋 友 去 見 耶 穌 、 對 他 說 、 主 阿 、 不 要 勞 動 . 因 你 到 我 舍 下 、 我 不 敢 當

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,920,124,340 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK