Results for kujuta translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

lakini wakamuuwa, na wakawa wenye kujuta.

Chinese (Simplified)

但他们宰了它,随后,他们深觉悔恨。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

(mwenyezi mungu) akasema: baada ya muda mchache watakuwa wenye kujuta.

Chinese (Simplified)

主說:「不久,他們必然要悔恨。」

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana, hata kama kwa barua ile yangu nimewahuzunisha, sioni sababu ya kujuta. naam, naona kwamba barua hiyo iliwatia huzuni lakini kwa muda.

Chinese (Simplified)

我 先 前 寫 信 叫 你 們 憂 愁 . 我 後 來 雖 然 懊 悔 、 如 今 卻 不 懊 悔 . 因 我 知 道 那 信 叫 你 們 憂 愁 、 不 過 是 暫 時 的

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi mlio amini! akikujieni mpotovu na khabari yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye kujuta kwa mliyo yatenda.

Chinese (Simplified)

信道的人们啊!如果一个恶人报告你们一个消息,你们应当弄清楚,以免你们无知地伤害他人,到头来悔恨自己的行为。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

utawaona wale wenye maradhi nyoyoni mwao wanakimbilia kwao wakisema: tunakhofu yasitusibu mabadiliko. huenda mwenyezi mungu akaleta ushindi au jambo jingine litokalo kwake wakawa wenye kujuta kwa waliyo yaficha katika nafsi zao.

Chinese (Simplified)

你将看见有心病的人,将争先地去与他们亲善,还要托辞说:我们恐怕遭遇厄运。真主也许降下胜利,或发出命令,而他们因为自己心中隐藏的阴谋,而变成悔恨的人。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo mwenyezi mungu akamleta kunguru anaye fukua katika ardhi ili amwonyeshe vipi kumsitiri nduguye. akasema: ole wangu! nimeshindwa kuwa kama kunguru huyu nikamsitiri ndugu yangu? basi akawa miongoni mwa wenye kujuta.

Chinese (Simplified)

真主使一只乌鸦来掘地,以便指示他怎样掩埋他弟弟的尸体。他说:伤哉!我怎不能像这只乌鸦那样,把我弟弟的尸体掩埋起来呢?于是,他变成悔恨的人。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,920,109,579 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK