Results for kusagia translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

ingekuwa afadhali kwake kufungiwa shingoni jiwe kubwa la kusagia na kutoswa baharini, kuliko kumkwaza mmoja wa wadogo hawa.

Chinese (Simplified)

就 是 把 磨 石 拴 在 這 人 的 頸 項 上 、 丟 在 海 裡 、 還 強 如 他 把 這 小 子 裡 的 一 個 絆 倒 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"yeyote atakayemkosesha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini, ingekuwa afadhali afungwe shingoni jiwe kubwa la kusagia na kuzamishwa kwenye kilindi cha bahari.

Chinese (Simplified)

凡 使 這 信 我 的 一 個 小 子 跌 倒 的 、 倒 不 如 把 大 磨 石 拴 在 這 人 的 頸 項 上 、 沉 在 深 海 裡

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"mtu yeyote atakayemfanya mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini atende dhambi, ingekuwa afadhali kwa mtu huyo kufungiwa shingoni mwake jiwe kubwa la kusagia na kutupwa baharini.

Chinese (Simplified)

凡 使 這 信 我 的 一 個 小 子 跌 倒 的 、 倒 不 如 把 大 磨 石 拴 在 這 人 的 頸 項 上 、 扔 在 海 裡

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha malaika mmoja mwenye nguvu sana akainua jiwe mfano wa jiwe kubwa la kusagia, akalitupa baharini akisema, "ndivyo, babuloni atakavyotupwa na kupotea kabisa.

Chinese (Simplified)

有 一 位 大 力 的 天 使 舉 起 一 塊 石 頭 、 好 像 大 磨 石 、 扔 在 海 裡 、 說 、 巴 比 倫 大 城 、 也 必 這 樣 猛 力 的 被 扔 下 去 、 決 不 能 再 見 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

sauti za vinubi za muziki, sauti za wapiga filimbi na tarumbeta hazitasikika tena ndani yako. hakuna fundi wa namna yoyote ile atakayepatikana tena ndani yako; wala sauti ya jiwe la kusagia haitasikika tena ndani yako.

Chinese (Simplified)

彈 琴 、 作 樂 、 吹 笛 、 吹 號 的 聲 音 、 在 你 中 間 決 不 能 再 聽 見 . 各 行 手 藝 人 在 你 中 間 決 不 能 再 遇 見 . 推 磨 的 聲 音 在 你 中 間 決 不 能 再 聽 見

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,951,731,219 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK