From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nimefanya bidii katika mashindano, nimemaliza safari yote na imani nimeitunza.
那 美 好 的 仗 我 已 經 打 過 了 . 當 跑 的 路 我 已 經 跑 盡 了 . 所 信 的 道 我 已 經 守 住 了
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mnajua ninyi wenyewe kwamba nimefanya kazi kwa mikono yangu mwenyewe, ili kujipatia mahitaji yangu na ya wenzangu.
我 這 兩 隻 手 、 常 供 給 我 和 同 人 的 需 用 、 這 是 你 們 自 己 知 道 的
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
akasema: hao wapo nyuma yangu wananifuatia. na nimefanya haraka kukujia, mola wangu mlezi, ili uridhike.
他說:「他們將追蹤而來。我的主啊!我忙到你這裡來,以便你喜悅。」
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini nimewaandikia hapa na pale katika barua hii bila woga, nipate kuwakumbusheni juu ya mambo fulani. nimefanya hivyo kwa sababu ya neema aliyonijalia mungu
但 我 稍 微 放 膽 寫 信 給 你 們 、 是 要 題 醒 你 們 的 記 性 、 特 因 神 所 給 我 的 恩 典
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
nimefanya kazi na kutaabika, nimekesha bila usingizi mara nyingi; nimekuwa na njaa na kiu; mara nyingi nimefunga na kukaa katika baridi bila nguo.
受 勞 碌 、 受 困 苦 、 多 次 不 得 睡 、 又 飢 又 渴 、 多 次 不 得 食 、 受 寒 冷 、 赤 身 露 體
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kwenda kwangu kulitokana na ufunuo alionipa mungu. katika kikao cha faragha niliwaeleza hao viongozi ujumbe wa habari njema niliohubiri kwa watu wa mataifa. nilifanya hivyo kusudi kazi yangu niliyokuwa nimefanya, na ile ninayofanya sasa isije ikawa bure.
我 是 奉 啟 示 上 去 的 、 把 我 在 外 邦 人 中 所 傳 的 福 音 、 對 弟 兄 們 陳 說 . 卻 是 背 地 裡 對 那 有 名 望 之 人 說 的 . 惟 恐 我 現 在 、 或 是 從 前 、 徒 然 奔 跑
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini, kwa neema yake mungu, nimekuwa kama nilivyo. na neema yake kwangu haikuwa bure. mimi nimefanya kazi kuliko wote; si mimi hasa, ila ni neema ya mungu ifanyayo kazi pamoja nami.
然 而 我 今 日 成 了 何 等 人 、 是 蒙 神 的 恩 纔 成 的 . 並 且 他 所 賜 我 的 恩 、 不 是 徒 然 的 . 我 比 眾 使 徒 格 外 勞 苦 . 這 原 不 是 我 、 乃 是 神 的 恩 與 我 同 在
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wao ni watumishi wa kristo? hata mimi--nanena hayo kiwazimu--ni mtumishi wa kristo zaidi kuliko wao. mimi nimefanya kazi ngumu zaidi, nimekaa gerezani mara nyingi zaidi, nimepigwa mara nyingi zaidi na nimekaribia kifo mara nyingi.
他 們 是 基 督 的 僕 人 麼 . ( 我 說 句 狂 話 ) 我 更 是 。 我 比 他 們 多 受 勞 苦 、 多 下 監 牢 、 受 鞭 打 是 過 重 的 、 冒 死 是 屢 次 有 的
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: