Results for ntakuja kukutembelea... translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Chinese

Info

Swahili

ntakuja kukutembelea siku moja

Chinese

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

siku moja, watoza ushuru na wahalifu wengi walikwenda kumsikiliza yesu.

Chinese (Simplified)

眾 稅 吏 和 罪 人 、 都 挨 近 耶 穌 要 聽 他 講 道

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku moja, ilipokuwa zamu yake ya kutoa huduma ya ukuhani mbele ya mungu,

Chinese (Simplified)

撒 迦 利 亞 按 班 次 、 在   神 面 前 供 祭 司 的 職 分

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku moja yesu alikwenda mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akimwomba mungu.

Chinese (Simplified)

那 時 、 耶 穌 出 去 上 山 禱 告 . 整 夜 禱 告   神

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watasema: tulikaa siku moja au sehemu ya siku. basi waulize wanao weka hisabu.

Chinese (Simplified)

他们说:我们逗留了一天,或者不足一天;请你问问能计算年月的(天神)吧。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku moja iliyochaguliwa, herode akiwa amevaa mavazi rasmi na kuketi katika kiti cha kifalme aliwahutubia watu.

Chinese (Simplified)

希 律 在 所 定 的 日 子 、 穿 上 朝 服 、 坐 在 位 上 、 對 他 們 講 論 一 番

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na walio motoni watawaambia walinzi wa jahannamu: mwombeni mola wenu mlezi atupunguzie walau siku moja ya adhabu.

Chinese (Simplified)

在火狱里的人对管理火狱的天神说:请你们祈祷你们的主,求他给我们减轻一日的刑罚。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sisi tunajua zaidi watakayo yasema, atakapo sema mbora wao katika mwendo: nyinyi hamkukaa ila siku moja tu.

Chinese (Simplified)

我知道他们说些什么。当时,他们中思想最正确的人说:你们只逗留了一天。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku moja ya sabato, yesu alikwenda kula chakula nyumbani kwa mmoja wa viongozi wa mafarisayo; watu waliokuwapo hapo wakawa wanamchunguza.

Chinese (Simplified)

安 息 日 、 耶 穌 到 一 個 法 利 賽 人 的 首 領 家 裡 去 喫 飯 、 他 們 就 窺 探 他

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku moja usiku, bwana alimwambia paulo katika maono: "usiogope, endelea kuhubiri tu bila kufa moyo,

Chinese (Simplified)

夜 間 主 在 異 象 中 對 保 羅 說 、 不 要 怕 、 只 管 講 、 不 要 閉 口

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na wanakuhimiza ulete adhabu, lakini mwenyezi mungu hatakwenda kinyume na ahadi yake kabisa. na hakika siku moja kwa mola wako mlezi ni kama miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi.

Chinese (Simplified)

他们要求你早日昭示刑罚。真主绝不爽约。在你的主那里的一日, 恰如你们所数的一千年。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku moja ya sabato, yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano, na wanafunzi wake wakaanza kukwanyua masuke ya ngano, wakaondoa punje zake kwa mikono, wakala.

Chinese (Simplified)

有 一 個 安 息 日 、 耶 穌 從 麥 地 經 過 . 他 的 門 徒 掐 了 麥 穗 、 用 手 搓 著 喫

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku moja, yesu alikuwa anasali peke yake, na wanafunzi wake walikuwa karibu. basi, akawauliza, "eti watu wanasema mimi ni nani?"

Chinese (Simplified)

耶 穌 自 己 禱 告 的 時 候 、 門 徒 也 同 他 在 那 裡 . 耶 穌 問 他 們 說 、 眾 人 說 我 是 誰

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa sababu hiyo mabaa yake yatampata kwa siku moja: ugonjwa, huzuni na njaa. atachomwa moto, maana bwana mungu mwenye kumhukumu ni mwenye uwezo."

Chinese (Simplified)

所 以 在 一 天 之 內 、 他 的 災 殃 要 一 齊 來 到 、 就 是 死 亡 、 悲 哀 、 饑 茺 、 他 又 要 被 火 燒 盡 了 . 因 為 審 判 他 的 主   神 大 有 能 力

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"siku moja nikiwa nasali mjini yopa, niliona maono; niliona kitu kama shuka kubwa likishushwa chini kutoka mbinguni likiwa limeshikwa pembe zake nne, likawekwa kando yangu.

Chinese (Simplified)

我 在 約 帕 城 裡 禱 告 的 時 候 、 魂 遊 象 外 、 看 見 異 象 、 有 一 物 降 下 、 好 像 一 塊 大 布 、 繫 著 四 角 、 從 天 縋 下 、 直 來 到 我 跟 前

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

au kama yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa magofu tu, akasema: ataufufuaje mwenyezi mungu mji huu baada ya kufa kwake? basi mwenyezi mungu alimfisha yeye muda wa miaka mia. kisha akamfufua. akamuuliza: je umekaa muda gani? akajibu: labda nimekaa siku moja au sehemu ya siku. akamwambia: bali umekaa miaka mia wewe. hebu angalia chakula chako na vinywaji vyako, havikuharibika. na muangalie punda wako. na ili tukufanye uwe ni ishara kwa watu iangalie hii mifupa yake jinsi tunavyo inyanyua kisha tunaivisha nyama. basi yalipo mbainikia alinena: najua kwamba mwenyezi mungu ni mwenye uweza juu ya kila kitu.

Chinese (Simplified)

难道你没有看见那个人吗?他经过一个荒凉的颓废的城市,他说:真主怎样使这个已死的城市复活呢?故真主使他在死亡的状态下逗留了一百年,然後使他复活。他说:你逗留了多久?他说:我逗留了一日,或不到一日。他说:不然,你已逗留了一百年。你看你的饮食,没有腐败。你看你的驴子。我要以你为世人的迹象。你看这些骸骨,我怎样配合他,怎样以肉套在它的上面。当他明白这件事的时候,他说:我知道真主对於万事是全能的。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,770,742,480 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK