Results for haifai translation from Swahili to Coptic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Coptic

Info

Swahili

nitajivuna basi, ingawa haifai! lakini sasa nitasema juu ya maono na ufunuo alivyonijalia bwana.

Coptic

ⲈϢⲞⲨϢⲞⲨ ⲆⲈ ⲤⲈⲢⲚⲞϤⲢⲒ ⲘⲈⲚ ⲀⲚ ϮⲚⲀⲒ ⲆⲈ ⲈϪⲈⲚ ϨⲀⲚⲔⲈϪⲒⲚⲚⲀⲨ ⲚⲈⲘ ϨⲀⲚϬⲰⲢⲠ ⲈⲂⲞⲖ ⲚⲦⲈⲠϬⲞⲒⲤ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haifai kitu wala kwa udongo wala kwa mbolea. watu huitupilia mbali. sikieni basi, kama mna masikio!"

Coptic

ⲞⲨⲆⲈ ⲠⲒⲔⲀϨⲒ ⲞⲨⲆⲈ ϮⲔⲞⲠⲢⲒⲀ ϤⲈⲢϢⲀⲨ ⲀⲚ ⲀⲖⲖⲀ ⲈϢⲀⲨϨⲒⲦϤ ⲈⲂⲞⲖ ⲪⲎ ⲈⲦⲈ ⲞⲨⲞⲚ ⲞⲨⲘⲀϢϪ ⲘⲘⲞϤ ⲈⲤⲰⲦⲈⲘ ⲘⲀⲢⲈϤⲤⲰⲦⲈⲘ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kama mtu akijiona kuwa ni mtu mwenye dini, lakini hawezi kuutawala ulimi wake, dini yake haifai kitu, na anajidanganya mwenyewe.

Coptic

ⲪⲎ ⲆⲈ ⲈⲐⲨⲘⲈⲨⲒ ⲈⲢⲞϤ ϪⲈ ⲞⲨⲢⲈϤϢⲈⲘϢⲒ ⲠⲈ ⲚϤϬⲒⲬⲀⲖⲒⲚⲞⲨⲤ ⲘⲠⲈϤⲖⲀⲤ ⲀⲚ ⲀⲖⲖⲀ ⲀϤⲈⲢϨⲀⲖ ⲘⲠⲈϤϨⲎⲦ ⲞⲨⲈⲪⲖⲎⲞⲨ ⲠⲈ ⲠϢⲈⲘϢⲒ ⲘⲪⲀⲒ

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ikiwa basi, sisi ni watoto wa mungu, haifai kumfikiria mungu kuwa kama dhahabu, fedha au hata jiwe lililochongwa na kutiwa nakshi na binadamu.

Coptic

ⲈⲀⲚⲞⲚ ⲞⲨⲄⲈⲚⲞⲤ ⲞⲨⲚ ⲚⲦⲈⲪⲚⲞⲨϮ ⲤϢⲈ ⲚⲀⲚ ⲀⲚ ⲈⲐⲢⲈⲚⲘⲈⲨⲒ ⲈⲚⲞⲨⲂ ⲒⲈ ϨⲀⲦ ⲒⲈ ⲰⲚⲒ ⲘⲪⲰⲦϨ ⲚⲦⲈⲬⲚⲎ ⲒⲈ ⲘⲞⲔⲘⲈⲔ ⲚⲢⲰⲘⲒ ϪⲈ ⲀϤⲞⲚⲒ ⲘⲘⲰⲞⲨ ⲚϪⲈⲪⲚⲞⲨϮ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makuhani wakuu wakazichukua zile fedha, wakasema, "haifai kuziweka katika hazina ya hekalu kwa maana ni fedha za damu."

Coptic

ⲚⲒⲀⲢⲬⲒⲈⲢⲈⲨⲤ ⲆⲈ ⲈⲦⲀⲨϬⲒ ⲚⲚⲒϨⲀⲦ ⲠⲈϪⲰⲞⲨ ϪⲈ ⲤϢⲈ ⲀⲚ ⲈϨⲒⲦⲞⲨ ⲈⲠⲒⲔⲞⲢⲂⲀⲚⲞⲚ ϪⲈ ⲦⲦⲒⲘⲎ ⲚⲞⲨⲤⲚⲞϤ ⲠⲈ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, usiiharibu kazi ya mungu kwa sababu ya ubishi juu ya chakula. vyakula vyote ni halali, lakini haifai kula chakula ambacho kitamfanya mtu aanguke katika dhambi.

Coptic

ⲘⲠⲈⲢⲂⲈⲖ ⲠⲒϨⲰⲂ ⲚⲦⲈⲪⲚⲞⲨϮ ⲈⲂⲞⲖ ⲈⲐⲂⲈ ⲞⲨϦⲢⲈ ⲤⲈⲞⲨⲀⲂ ⲘⲈⲚ ⲦⲎⲢⲞⲨ ⲀⲖⲖⲀ ⲞⲨⲠⲈⲦϨⲰⲞⲨ ⲠⲈ ⲘⲠⲒⲢⲰⲘⲒ ⲪⲎ ⲈⲐⲚⲀⲞⲨⲰⲘ ⲈⲂⲞⲖ ϨⲒⲦⲈⲚ ⲞⲨϬⲢⲞⲠ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"ninyi ni chumvi ya dunia! lakini chumvi ikipoteza ladha yake itakolezwa na nini? haifai kitu tena, ila hutupwa nje na kukanyagwa na watu.

Coptic

ⲚⲐⲰⲦⲈⲚ ⲆⲈ ⲠϨⲘⲞⲨ ⲘⲠⲒⲔⲀϨⲒ ⲈϢⲰⲠ ⲆⲈ ⲚⲦⲈⲠⲒϨⲘⲞⲨ ⲖⲰϤ ⲀⲨⲚⲀⲘⲞⲖϨϤ ⲚⲞⲨ ⲘⲠⲀϤϢϪⲈⲘϪⲞⲘ ϪⲈ ⲈϨⲖⲒ ⲈⲂⲎⲖ ⲚⲤⲈϨⲒⲦϤ ⲈⲂⲞⲖ ⲚⲤⲈϨⲰⲘⲒ ⲈϪⲰϤ ⲚϪⲈⲚⲒⲢⲰⲘⲒ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kweli, masharti hayo yaonekana kuwa ya hekima katika namna ya ibada ya kujitakia wenyewe, unyenyekevu wa uongo na kuutendea mwili kwa ukali; lakini kwa kweli, haifai chochote kuzuia tamaa za mwili.

Coptic

ⲈⲦⲈ ⲚⲈⲚⲎ ⲈⲦⲈ ⲞⲨⲞⲚ ⲞⲨⲤⲀϪⲒ ⲘⲈⲚ ⲚϦⲎⲦⲞⲨ ⲚⲦⲈⲞⲨⲤⲂⲰ ϦⲈⲚⲪⲞⲨⲰϢ ⲚⲦⲈⲞⲨϢⲈⲘϢⲒ ⲚⲈⲘ ⲞⲨⲐⲈⲂⲒⲞ ⲚϨⲎⲦ ⲚⲈⲘ ⲞⲨⲘⲈⲦⲀⲦϮ ⲀⲤⲞ ⲈⲠⲒⲤⲰⲘⲀ ϦⲈⲚⲞⲨⲦⲀⲒⲞ ⲀⲚ ϦⲈⲚⲞⲨⲤⲒ ⲚⲦⲈⲦⲤⲀⲢⲜ.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,729,237,384 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK